Mkuu Pasco, sidhani kama kuna kitu cha kisheria unachoweza kukijua wewe wasikijue wanasheia kama Tundu Lissu, Prof. Safari na timu yao.Mkuu Mpaka Kieleweke,
Kwanza poleni kwa yote!.
Pili mnayo team nzuri sana ya wanasheria, lakini nashauri, mara moja moja, muwe mnasikiliza maoni ya ma layman kama sisi kupitia humu jf.
Nasikitika kuwaambia kitendo cha kufungua kesi kuhoji mamlaka ya DPP, its a wastage of time!. Mamlaka ya DPP haihojiwi na mamlaka yoyote hata rais wa nchi, hawezi kuyahoji, hivyo you are fighting a loosing battle!.
Ni kweli timu yenu ya sheria is a good team, nashauri please seek legal opinion ya best criminal lawyers around, kwa sababu baadhi ya wanasheria wenu ni politiciancs, wajiangalie wasije wakaipoliticise hii kesi kuonekana its a political case, bali muendelee kuipigania iwe abduction na sio terrorisim!.
Mwisho mtake msitake, lazima Chadema kama chama, kitoe statement kuwa whatever mashitaka yanayomkabili Rwakatare, ni yake mwenyewe kama Rwakatare, vingenevyo hali ikiachwa ilivyo, kuna hatari ya jamii kuaminishwa kuwa hayo yaliiyotendeka, yamendwa kwa maelekezo ya chama, hivyo kuja kuwaingiza hata wasiokuwemo!.
Huu ni ushauri wa bure tuu toka kwa layman.
Pasco.
Vijana wa CHADEMA wanayaendeleza yale ambayo JUDAS ISCARIOT aliyaanzisha kwa JESUSTAARIFA ni pesa,kama huna pesa huwezi kupata TAARIFA,hawa vijana wanapewa pesa,hata wakina Juliana Shonza na Mtela Mwampamba tumewoana wakiwa na hao wakina Mwigulu kwenye maeneo fulani,kikubwa walikuwa wanapewa MPUNGA.ACHANA NA HELA BWANA HAINA ADABU HATA MKEO ANAWEZA KUKUSALITI KWA SABABU YA HELA!
mkuu mpumbavu akiona uchafu wa sura yake kwenye kioo huamua kupasua kioo kilicho muonesha uchafu wake!hakika CCM ni chama cha kipuuzi! CCM wanadhani wataiua Chadema kwa kuwabambikizia kesi na kufanya propaganda.
CCM wanadhani kutokukubalika kwao mbele ya wananchi wachawi ni Chadema wakati wachawi ni wenyewe CCM.
2015 CCM mtapata aibu.
Mkuu Mpaka Kieleweke,
Mwisho mtake msitake, lazima Chadema kama chama, kitoe statement kuwa whatever mashitaka yanayomkabili Rwakatare, ni yake mwenyewe kama Rwakatare, vingenevyo hali ikiachwa ilivyo, kuna hatari ya jamii kuaminishwa kuwa hayo yaliiyotendeka, yamendwa kwa maelekezo ya chama, hivyo kuja kuwaingiza hata wasiokuwemo!.
Huu ni ushauri wa bure tuu toka kwa layman.
Pasco.
Mkuu Mpaka Kieleweke,
Kwanza poleni kwa yote!.
Pili mnayo team nzuri sana ya wanasheria, lakini nashauri, mara moja moja, muwe mnasikiliza maoni ya ma layman kama sisi kupitia humu jf.
Nasikitika kuwaambia kitendo cha kufungua kesi kuhoji mamlaka ya DPP, its a wastage of time!. Mamlaka ya DPP haihojiwi na mamlaka yoyote hata rais wa nchi, hawezi kuyahoji, hivyo you are fighting a loosing battle!.
Ni kweli timu yenu ya sheria is a good team, nashauri please seek legal opinion ya best criminal lawyers around, kwa sababu baadhi ya wanasheria wenu ni politiciancs, wajiangalie wasije wakaipoliticise hii kesi kuonekana its a political case, bali muendelee kuipigania iwe abduction na sio terrorisim!.
Mwisho mtake msitake, lazima Chadema kama chama, kitoe statement kuwa whatever mashitaka yanayomkabili Rwakatare, ni yake mwenyewe kama Rwakatare, vingenevyo hali ikiachwa ilivyo, kuna hatari ya jamii kuaminishwa kuwa hayo yaliiyotendeka, yamendwa kwa maelekezo ya chama, hivyo kuja kuwaingiza hata wasiokuwemo!.
Huu ni ushauri wa bure tuu toka kwa layman.
Pasco.
Ni dhahiri kuwa CCM walikuwa wakimtumia Ludovick kijasusi. Mawasiliano kati ya Mwigulu Mchemba na Ludovick siku ambayo video ilichukuliwa yanaondoa shaka kuwa aliyeichukua video ni Ludovick, na aliyeifanyia editing ni Mwigulu na Ludovick.
Hii ni aibu nyingine ya Kikwete, viongozi wa chama chake kwa kushirikiana na polisi wanahusika na mbinu chafu na za kipu.mbavu. Big shame to Mwigulu, big shame to Ludovick, big shame to the police and big shame to CCM.
Sijui niite ni kutoa ushauri au kuagiza CDM itekeleze matakwa yako wakati tayari statement ilishatolewa; basi draft statement wacopy na kupaste. Ushauri wako si bure una gharama. Gharama yake ni kuwaingiza CDM mkenge kwenye mpango mzima unaoujua.
Mimi nakushauri MSINGI WA SHERIA NI KUTOA HAKI, NA MSINGI WA HAKI NI UKWELI. Basi tuache haki itokane na ukweli utakaojitokeza kwenye hili sakata. Bado ukweli haujajidhihisha
Vijana wa CHADEMA wanayaendeleza yale ambayo JUDAS ISCARIOT aliyaanzisha kwa JESUS
Mawakili wa Lwakatare, Tundu Lissu, Mabere Marando, Prof.Safari, Peter Kibatala na Nyaronyo Kicheere.
Kwa jopo letu la mawakili tumejiridhisha kuwa hakuna kesi ya kujibu , hii ni kutokana na hati ya mashitaka ambayo iliwasilishwa mahakamani.
Sasa maswali.
Mkuu Pasco, sidhani kama kuna kitu cha kisheria unachoweza kukijua wewe wasikijue wanasheia kama Tundu Lissu, Prof. Safari na timu yao.
Mara nyingi statement na ushauri wako kwa chadema hapa JF huwa ni wa mkono wa kushoto. Japo matokeo huja kujidhihirisha yenyewe na wewe kujiprove wrong. Japo huwa ni mgumu kukiri.
I am quite sure TL and team know exactly what they are doing and what they are supposed to do.
Hivi sasa wanasheria wa CHADEMA wanafanya mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na tukio la Lwakatare na makosa ambayo alishitakiwa nayo.
Anaeleza kuwa kama ameshitakiwa kwa ugaidi lazima makosa hayo yawe ni ya kigaidi, ila makosa ya Kidnapping na abduction ni makosa ya kawaida ya jinai , na kama ili yawe ya kigaidi ni lazima hayo makosa yawe yamefanyika kwa malengo ya kigaidi , na hata hati ya mashitaka haina maelezo ya makosa ya ugaidi .
Nyongeza: kuhusu video amesema tayari kuna ushahidi wa kimawasiliano baina ya Mwigulu Nchemba ya tarehe 28.12.2012 wakiwasiliana na Ludovick saa 5:55 asubuhi , na Lwakatare amesema kuwa yeye alikutana na Ludovick kuanzia saa tano asubuhi tarehe 28.
Aidha , ameongeza kuwa tarehe 27.12.2012 Denis Msacky alimpigia simu Lwakatare wakati akiwa njiani kurejea akitokea Kagera , akiwa Morogoro na kumuuliza kama yupo DSM , akamjibu yuko njiani.
Tatu, tarehe 29.12.2012 Mwigulu Nchemba , akiwa na Zitto na Mtatiro Star Tv , kipindi cha tuongee asubuhi ndipo alisema kuwa ana mkanda wa viongoz i wa chadema wakipanga mauaji ......sasa haya yote yatajulikana mahakamani.
Ziada .
Maelezo aliyotoa Lwakatare polisi kuhusu maneno yaliyoko kwenye video alisema kuwa yeye anakumbuka siku ya tarehe 28, alikuwa nyumbani kwake na Ludovick ndio alienda kwake , ila picha ya video ni ya kwake , sura ni ya kwake ila baadhi ya maneno yaliyoko sio ya kwake na ameandika hivyo , kwa hiyo kuhusu ukweli wa mkanda majibu ya kina yanatakiwa kutoka polisi , Mwigulu na Denis ndio wanajua nini kipo kwenye mkanda . Hivyo picha limeanza kuonekana , na kwa taarifa zaidi ni kuwa polisi wana video yenye dakika 27.06 na maneno yanatofautiana sana na yaliyoko kwenye You tube iliyowekwa kwenye mitandao .
Sasa polisi nao waliulizwa ni kwanini hawajamkamata aliyeweka hiyo you tube kwenye mitandao walitoa majibu yao na mawakili wanaendelea na uchunguzi wao.
Mwisho mtake msitake, lazima Chadema kama chama, kitoe statement kuwa whatever mashitaka yanayomkabili Rwakatare, ni yake mwenyewe kama Rwakatare, vingenevyo hali ikiachwa ilivyo, kuna hatari ya jamii kuaminishwa kuwa hayo yaliiyotendeka, yamendwa kwa maelekezo ya chama, hivyo kuja kuwaingiza hata wasiokuwemo!.
.
ndo watuambie maneno ya awali ya video ni yapi na ya kupachikwa ni yapi hapo.Kwa kuwa imeongezwa maneno kwa maana ya kupunguza maneno ya awali video ni feki lakini linaondoa kabisa dhamira nzima ya kurekodiwa kama alirithia. Kama ni mpango tu wakuitumia hiyo video kwa njia ya kumrekodi mtu bila ridhaa yake ndiyo umebuma mahakama yo yote itayosikiliza itatudhihirishia kilichopo nyuma ya pazia na akina nani
Mkuu Mpaka Kieleweke,
Kwanza poleni kwa yote!.
Pili mnayo team nzuri sana ya wanasheria, lakini nashauri, mara moja moja, muwe mnasikiliza maoni ya ma layman kama sisi kupitia humu jf.
Nasikitika kuwaambia kitendo cha kufungua kesi kuhoji mamlaka ya DPP, its a wastage of time!. Mamlaka ya DPP haihojiwi na mamlaka yoyote hata rais wa nchi, hawezi kuyahoji, hivyo you are fighting a loosing battle!.
Ni kweli timu yenu ya sheria is a good team, nashauri please seek legal opinion ya best criminal lawyers around, kwa sababu baadhi ya wanasheria wenu ni politiciancs, wajiangalie wasije wakaipoliticise hii kesi kuonekana its a political case, bali muendelee kuipigania iwe abduction na sio terrorisim!.
Mwisho mtake msitake, lazima Chadema kama chama, kitoe statement kuwa whatever mashitaka yanayomkabili Rwakatare, ni yake mwenyewe kama Rwakatare, vingenevyo hali ikiachwa ilivyo, kuna hatari ya jamii kuaminishwa kuwa hayo yaliiyotendeka, yamendwa kwa maelekezo ya chama, hivyo kuja kuwaingiza hata wasiokuwemo!.
Huu ni ushauri wa bure tuu toka kwa layman.
Pasco.
Kwa hiyo kama ni kweli Ludovick alijihusisha, naye ni masalia?. Kama ni masalia. CHADEMA ina masalia wangapi?. Lwakatare ni nani?.SAHIHISHO ISOMEKE
Vijana masalia/wasaliti ndani ya CHADEMA wanayaendeleza yale ambayo JUDAS ISCARIOT aliyaanzisha kwa JESUS
Tundu Lissu siku ile alijidhalilisha sana pale mahakamani mpaka akachekwa na umati wa watu!!!