Sakata la Lulu na Kifo cha Kanumba, what does the Law say?

mimi ni mwanasheria wa kujitegemea based in South Africa, nimefatilia mjadala wa kifo cha Kanumba hapa JF na kwenye mitandao mbalimbali, na watu wengi wameonekana kumtupia mzigo LULU kama ndio chanzo, in short amekuwa ndio scapegoat, so yeyote mwenye contanct za familia au ndugu ya kina lulu na kama wako tayari,wanaweza kuniPM! AM ready to help this little lady

Ukisha mtetea kutaga atataga nani ?
 
Halafu kwa uzito huo huo imagine kwamba wewe ndio Mama/Baba/Mtoto or with close Family ties na Kanumba ungejisikiaje? Na wewe usipost hapa kama huna Elimu ya ufahamu.

ndugu kweli inauma tena inauma sana lakini wote tuombe dola itekeleze vile inatakikana kwa sababu mwenye elimu ya sheria amepatikana kwa kile nachojua hiyo sio murder ni manslaughter kama kawaida ya kesi za nchi yetu za namna hii lazima situation ya mtendaji ipewe kipaumbele na mtendewaji...afu ndugu kuna wakati mtu unajikuta katika sintofahamu kutokana na hili au lile...rejea kesi ya ditopile mzuzuri...huyu anayetaka kumpa msaada ampe vile anaweza...na sheria sipendi ifanye upendeleo wa namna yeyote ile utende haki.
 
Natamani hako katoto kangeachiwa huru ili iwe ni second chance ktk maisha yake labda ata'behave.
 
Huyu ni complete total a murder,.......asipokuuwa kwa kisu ni lazima akuuwe kwa magonjwa ya zinaa!!
559323_400665203291377_100000437012547_1391920_2024052150_n.jpg
 
Polisi wanaendelea na mahojiano na huyo mtuhumiwa, lakini hata kama itaonekana kuna kesi basi itakuwa si kesi ya mauaji ya kukusudia, yaani "murder case" bali itakuwa ni kesi ya mauaji ya bila kukusudia ,aani "Manslaughter" kwa sababu mtuhumiwa hakuwa na kusudio la kumuua marehemu (evil intent/ Malice aforethought) na adhabu yake huwa ni kifungo cha maisha au kifungo cha miaka kadhaa gerezani au anaweza akaachiliwa kabisa, na kama atatimoza masharti ya dhamana basi ataweza kuachiliwa kwa dhamana kwa sababu kosa hilo halipo kati ya makosa yasiyodhaminika chini ya kifungu cha 148 cha Sheria ya mwenendo ya makosa ya jinai, sura ya 20 ya sheria za Tanzania.
 
Unapaswa kusubiri uchunguzi wa polisi halafu dokta ndipo utajua ripoti zinasemaje. Kutetea ni sawa maana kwa taalum yako unaweza fanya hivyo,kama hata wezi wa EPA nao walikuwa na mawakili kwako sioni ajabu.
 
Natamani hako katoto kangeachiwa huru ili iwe ni second chance ktk maisha yake labda ata'behave.
 
Mujumba, unaonesha waziwazi wewe ni mzinzi uliyekubuhu, wako wangapi wenye kesi kama hizo mbona unajifanya una-sympasize kwa hicho kichangu? eti she is a little girl subiri kikuue na wewe.
 
Natamani hako katoto kangeachiwa huru ili iwe ni second chance ktk maisha yake labda ata'behave.
 
mimi ni mwanasheria wa kujitegemea based in South Africa, nimefatilia mjadala wa kifo cha Kanumba hapa JF na kwenye mitandao mbalimbali, na watu wengi wameonekana kumtupia mzigo LULU kama ndio chanzo, in short amekuwa ndio scapegoat, so yeyote mwenye contanct za familia au ndugu ya kina lulu na kama wako tayari,wanaweza kuniPM! AM ready to help this little lady

Mungu wangu, ndio walewale wanasheria wa TZ. Kwa story tu za mtandaoni unaweza ukafanya maamuzi. Hii inaonesha jinsi usivyo serious. Sasa hizo information za kwamba uko based South Africa zinasaidia nini? Ujinga tu huo. Yaani umeona hii issue ya muhimu sana kuliko zote zinazotokea Tanzania ambazo mhimili wa mahakama unaonesha kuwa na upendeleo fulani. Hujasikia EPA, RICHMOND, RADA, Lema kunyang'anywa ubunge, Kuuwawa kwa dereva daladala na Dr. Mzuzuri? Au ndio uko fresh from school?

Kwanza unadhani huyo mtoto LULU utampata huku JF? Lulu kama hana kosa atakuwa huru, na kama ana kosa basi ataadhibiwa sawasawa na makosa yake.

NOTE: Kila sehemu duniani, mtu anayekuwa wa mwisho na marehemu aliyepata kifo kwa njia ya utata ni lazima awe shahidi wa kwanza kwa polisi, na pia atasumbuliwa na vyombo vya habari pamoja na wananchi, mpaka ukweli utakapopatikana and so Lulu is not special.
 
My Fans in JF,tusimdis mjumba,Man Slaughter inaweza ikamkuta mtu yeyote na usipo kaasawa inageuka kuwa Murder Case.Lulu anahitaji msaada.
Mjumba do what you can do but try another way to get contant,not from this page since you will be discouraged and confused.
 
Sawa kama hufuatilii but u can take few minuts kulielewa hilo keep in tach wit u a chanels. The Great Kanumba rest in peace.....utafufuka na yesu 2night kwa imani.
cop yake
 
Back
Top Bottom