Sakata la Lulu na Kifo cha Kanumba, what does the Law say?

Siyo lazima ujaze server for unnecessary thread, fuatilia thread za kifo cha Kanumba utayapata yote hayo, hili linahitaji busara ndogo tu kulielewa, toka uchaguzi wa Arumeru server ya JF imeelemewa sasa na wewe unajaza thread ambayo haina mashiko!!
 
mimi ni mwanasheria wa kujitegemea based in South Africa, nimefatilia mjadala wa kifo cha Kanumba hapa JF na kwenye mitandao mbalimbali, na watu wengi wameonekana kumtupia mzigo LULU kama ndio chanzo, in short amekuwa ndio scapegoat, so yeyote mwenye contanct za familia au ndugu ya kina lulu na kama wako tayari,wanaweza kuniPM! AM ready to help this little lady

Kumbuka mahakama za tz sasa hivi majaji wake wanawanasikiliza magogoni inataka nini juu ya hukumu!
 
duh ama kweli..., kazi ipo

Lakini ukweli ni kwamba huyu binti sasa anakuwa treated kama a cold blood killer au serial killer.., lakini huenda ni bahati mbaya

Kwakeli huyu binti kwa sasa anahitaji mtu wa kuongea nae na kumfariji (she has witnessed in a day what some of us will never witness in our lifetime) kwahio wanajamvi I beg of you lets cut the girl some slack
 
Niwieni radhi wana JF. Nakiri kuwa sifuatiliagi sana vibweka vya mastaa wa bongo but this one is a matter of public interest. Naomba anayemjua huyo Lulu atumwagie jamvini wasifu wake (na picha if possible) na uhusiano wake na Hayati Kanumba.

Nawasilisha.

Confronted with gossip!
 
Mtoto mtam yule ukimtoa lupango utakula once then utaporwa tu. Anakuwaga na dume jipya kila siku. jaribu mkuu ila nahisi umechelewa maana wanaoponea haja zao za kimwili pale ni wengi na wana uwezo.
 
Prodo umeelew vizuri sana ndio maana umejua wapi nimekose so shut up! Soma comment thn sepa.
 
Kwa english yangu ndogo nilidhani scapegoat ni yule anae pelekwa mbele
kwa kuficha kundi/sababu kubwa zaidi ambalo liko nyuma.
Hili neno limetumika sawa hapa kweli? naomba mnifafanulie plz.
 
Niwieni radhi wana JF. Nakiri kuwa sifuatiliagi sana vibweka vya mastaa wa bongo but this one is a matter of public interest. Naomba anayemjua huyo Lulu atumwagie jamvini wasifu wake (na picha if possible) na uhusiano wake na Hayati Kanumba.

Nawasilisha.

ungetafuta thread za leo ungeona yenye/zenye picha.

mie nimeziona zilikuwa posted humu kabla hujaanzisha hii thread.

haya good luck kuitafuta ni rahisi tu
 
mimi ni mwanasheria wa kujitegemea based in South Africa, nimefatilia mjadala wa kifo cha Kanumba hapa JF na kwenye mitandao mbalimbali, na watu wengi wameonekana kumtupia mzigo LULU kama ndio chanzo, in short amekuwa ndio scapegoat, so yeyote mwenye contanct za familia au ndugu ya kina lulu na kama wako tayari,wanaweza kuniPM! AM ready to help this little lady

Kama kweli umedhamilia msaidie coz ni wazi kwamba hakukusudia na hili jambo linaweza mpata mtu teyote.
 
ataachiwa hiyo siyo murder ni mansloughter( ACTUS REUS IMEFANYIKA BILA MENSREA)

Kesi ya msingi ni ya mauaji lakini baadae endapo ushahidi utathibitisha ni manslaughter.

Kifupi ana kama miezi sita mpaka miaka miwili lupango hiyo ni mahabusu tu kabla ya kulambwa kwa hiyo manslaughet ambayo anaweza kulambwa miaka miwili mpaka mitano.

Kifupi huyu demu keshalost, asitegemee miujiza.
 
Kwa english yangu ndogo nilidhani scapegoat ni yule anae pelekwa mbele
kwa kuficha kundi/sababu kubwa zaidi ambalo liko nyuma.
Hili neno limetumika sawa hapa kweli? naomba mnifafanulie plz.

He kumbe kujinadi kote huko, inawezekana kabisa hata fani yenyewe haijui vizuri, du!
 
We unamtaka mbunye yake tu, huna lolote, angekua dume hata usingeanzisha uzi huu.
 
Siyo lazima ujaze server for unnecessary thread, fuatilia thread za kifo cha Kanumba utayapata yote hayo, hili linahitaji busara ndogo tu kulielewa, toka uchaguzi wa Arumeru server ya JF imeelemewa sasa na wewe unajaza thread ambayo haina mashiko!!

Mkuu nikuite mchoyo, mvivu au mshari? Thred za Kanumba sasa hivi zinakaribia maelfu ya pages! Nipekue yote hayo ili kubahatisha sentensi chache ninazohitaji? If you cant copy and paste ungetaja moja na page yake at least that could do na siyo kupeana homework.
 
Back
Top Bottom