Sakata la Lema: Lowassa ana Gundu na ni mbinafsi!

Tukiwaambia mnatuita buku 7!!
lowassa alishasema hataki chadema iwe chama cha wanaharakati
 
Unajauje kama hajamtembelea Lema gerezani,,,,,au mpaka aende na makamera?

Zitto na hao wengine uliwaona wakienda na makamera? Jibu ni hapana, jambo jema halijifichi hebu waambieni kina Mbowe wawe na utu.

Mbowe yupo busy eti anajenga chama, mamvi yeye anawaza Urais tu kama haitoshi Ben kijana wao amepotea mpaka Mbowe anarudi Tz, hajakwenda hata kumuona Baba'ake Ben... Hawa watu siyo wa kuwatetea.
 
When it comes a time to decide , I will stand with LEMA JONATHAN GOBLESS.
 
Lowassa ni bomu; hakuna ubishi juu ya hilo. He is overrated; he has too much baggage; he has no credible political agenda; he has no accomplishments as a leader.

Ila kuhusu kutokumtembelea Lema; nadhani mleta mada umebwabwaja tu badala kuleta hoja ya maana. Nikuulize wanachama wa Chadema wote waliowahi kuwekwa mahabusu walitembelewa na viongozi wa juu wa Chadema? Unasema Lowassa amtembelee Lema kwasababu ni jirani yake pale Monduli; kwani Lowassa anaishi Monduli? Tunajua anaishi Dar. Na je una ushahidi kwamba Lowassa hajamtembelea Lema? Pia ujue kuwa inawezekana Viongozi wa Chadema hawajamtembelea Lema kwasababu za kimkakati ambazo zinaweza kusaidia hata kesi ya Lema kuisha vizuri kuliko ambavyo wangemtembelea.
 
chadema kunani jamani? kuna wabunge ilikuwa midomo inawasha ikipita siku bila kuongea bungeni.
nashangaa kwenye kipindi hiki namsikia zitto kabwe tu. Au ndo dhambi ya ubinafsi inatafuna chama sasa hv?.
 
Lowasa anawashughulikia wale waliomtukana kipindi kileee.... Alianza na Kubenea, Lisu, Lema. Sasa akamwone wa nini? Endeleeni kuisoma namba. Kikulacho....
 
Anaeweza kunisaidia,, ni kwaninni Mbunge wetu machachari kipenzi cha vijana JOHN MNYIKA ni kama hayupo kabisa nchini..?????

Kuna tatizo huko CHADEMA sio siri.
jujuzi tu hapa alikua Mbeya alikotanga kuwa uchaguzi ndani ya Chadema utakuwa wa ndio au hapana kwa mgombea mmoja. Kisa eti kwa maelekezo ya chama hawataki makundi. Usanii wa domo-crasia.
 
Anaeweza kunisaidia,, ni kwaninni Mbunge wetu machachari kipenzi cha vijana JOHN MNYIKA ni kama hayupo kabisa nchini..?????

Kuna tatizo huko CHADEMA sio siri.
Yule ni mtoto wa Dr Slaa kuna kipindi kulikuwa na tetesi kuwa Mnyika atafanya maamuzi magumu ni suala la muda jamaa atakimbia nae, Lowasa ni kama agent tu wa ccm kuuwa upinzani

Arudishe kwanza kadi ya chama ya ccm

Nashawishika kuamini Mbowe alikuwa ile Bilion ten

UKAWA bado hawajajipanga kuingia Ikulu

Dr Slaa aliondoka na siasa za bongo
 
Najua mleta mada humpendi Lowassa lakini hili la kutomtembelea Lema yeye na viongozi wengine wa CHADEMA wakiwamo na wabunge wa chama kwakweli ni kosa kubwa sana kwao.

Inasikitisha kuona ni Zitto,Sheikh Ponda, Salum Mwalimu na watu wengine wachache ndio wameenda kumjulia hali Lema huko gerezani Kisongo.

Eleweni Leo ni Lema kesho ni nyinyi unless mtakaa kimya mpaka 2020.

Niwatahadhirishe tu siku mkilalamika Lema kuwekwa ndani, CCM watawabeza/watawahoji kama mna uchungu na Lema mbona hata gerezani hamkwenda kumtembelea?

Watu kama kina Kibajaji hawawezi kushindwa kusema maneno haya ndani ya Bunge iwapo swala hili mtaliongelea Bungeni na hata kwenye majukwaa ya kisiasa.

Kwa hili lazima watatubeza tu.
Kumbe Salum Mwalim yupo!!!!!?.
 
Lowassa na Lema hawajawahi kuwa maswahiba tangu ule uchaguzi wa Arumeru wa "ni heshima kubwa kwa Mungu kumzomea...".
Hata kampeni za 2015 zilipita kwa shida sana kati ya hawa mabwana mawili.
Tangu hapo sijawahi sikia wakipena maneno yeyote ya furaha...
Kwahiyo wanavumiliana kinafiki? .
 
Anaeweza kunisaidia,, ni kwaninni Mbunge wetu machachari kipenzi cha vijana JOHN MNYIKA ni kama hayupo kabisa nchini..?????

Kuna tatizo huko CHADEMA sio siri.
Kuna "tetesi" eti, Mnyika alilishwa vitu fulani fulani hivi na sasa amekuwa kama "zezeta" hivi. Inasemekana eti, baada ya kulishwa hivyo vitu, uwezo wake wa kufikiri na kujenga hoja umekwisha kabisa. Sasa hivi yupo tu kama mwili, "akili" zimevurugwa.
 
Haiwezekani Lema yupo gerezani miezi miwili sasa hajaenda hata kumjulia hali hata Mara moja!! Wakati ni majirani Monduli na Arusha mjini.

Yupo yupo tu kimya Lema anakamatwa kimya, Mwalimu alikamatwa kimya,Lissu akikamatwa kimya.

Na siku akikamatwa yeye kwa ufisadi sisi tutakaa kimya.

Chadema ni Lema na Lema ndio nembo halisi ya Chadema.

Lema ndiye anawakilisha mawazo halisi ya wapinzani wa kweli nchi hii.

Lema hajawai kutuhumiwa kwa wizi na ufisadi kama alivyo Lowassa.

Lema hajawai kunyamaza kuhusu ukandamizaji wa haki maana haujaanza Leo .

Lakini Lowassa eti ameanza kuwatetea wananchi baada ya kuhamia Chadema.

mtu hana hata mvuto tena kama walivyo wakina Cheyo na wenzie .

Mtu ambaye kafanikisha kuwaziba midomo wakina Msigwa na Mnyika wanapotea kisiasa.

Hivi Lowassa huyu huyu aliyekataa katiba mpya ya Warioba ambayo matokeo yake tunaendelea kutumia katiba ya 1977 inasababisha Lema aendelee kusota gerezani maana baada ya kupata katiba mpya tungerekebisha sheria zote mbovu.

Alafu kuna watu wanamsapoti eti awe Rais wa nchi serious?...

Pombe simpendi lakini kama ni Lowassa hapana.

Lowassa ni mbinafsi hawezi kuwa rais wa Tanzania tena.

Lowassa hawezi na hatoweza kuleta mabadiliko ya kweli ya kuwatetea watanzania maana alishawasaliti huko nyuma .
Hata kupotea kwa "saa 8" sijamsikia Lowassa akisema kitu chochote.

Dr. Slaa alikuwa mjanja sana kutorokea zake Canada, angebakia Tz hawa jamaa wangeshammaliza siku nyingi.
 
Haiwezekani Lema yupo gerezani miezi miwili sasa hajaenda hata kumjulia hali hata Mara moja!! Wakati ni majirani Monduli na Arusha mjini.

Yupo yupo tu kimya Lema anakamatwa kimya, Mwalimu alikamatwa kimya,Lissu akikamatwa kimya.

Na siku akikamatwa yeye kwa ufisadi sisi tutakaa kimya.

Chadema ni Lema na Lema ndio nembo halisi ya Chadema.

Lema ndiye anawakilisha mawazo halisi ya wapinzani wa kweli nchi hii.

Lema hajawai kutuhumiwa kwa wizi na ufisadi kama alivyo Lowassa.

Lema hajawai kunyamaza kuhusu ukandamizaji wa haki maana haujaanza Leo .

Lakini Lowassa eti ameanza kuwatetea wananchi baada ya kuhamia Chadema.

mtu hana hata mvuto tena kama walivyo wakina Cheyo na wenzie .

Mtu ambaye kafanikisha kuwaziba midomo wakina Msigwa na Mnyika wanapotea kisiasa.

Hivi Lowassa huyu huyu aliyekataa katiba mpya ya Warioba ambayo matokeo yake tunaendelea kutumia katiba ya 1977 inasababisha Lema aendelee kusota gerezani maana baada ya kupata katiba mpya tungerekebisha sheria zote mbovu.

Alafu kuna watu wanamsapoti eti awe Rais wa nchi serious?...

Pombe simpendi lakini kama ni Lowassa hapana.

Lowassa ni mbinafsi hawezi kuwa rais wa Tanzania tena.

Lowassa hawezi na hatoweza kuleta mabadiliko ya kweli ya kuwatetea watanzania maana alishawasaliti huko nyuma .
umesahau aliyo sema lema mkuu
 
Najua mleta mada humpendi Lowassa lakini hili la kutomtembelea Lema yeye na viongozi wengine wa CHADEMA wakiwamo na wabunge wa chama kwakweli ni kosa kubwa sana kwao.

Inasikitisha kuona ni Zitto,Sheikh Ponda, Salum Mwalimu na watu wengine wachache ndio wameenda kumjulia hali Lema huko gerezani Kisongo.

Eleweni Leo ni Lema kesho ni nyinyi unless mtakaa kimya mpaka 2020.

Niwatahadhirishe tu siku mkilalamika Lema kuwekwa ndani, CCM watawabeza/watawahoji kama mna uchungu na Lema mbona hata gerezani hamkwenda kumtembelea?

Watu kama kina Kibajaji hawawezi kushindwa kusema maneno haya ndani ya Bunge iwapo swala hili mtaliongelea Bungeni na hata kwenye majukwaa ya kisiasa.

Kwa hili lazima watatubeza tu.
Huna hoja jalbu kufkilia kabla yakuandka
 
Back
Top Bottom