Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 4,953
- 4,326
Sawa, numbers dont lie kama akili yako inauwezo wa kuzi interprate hizo numbers properly.Techinically na Freeland acheni porojo zenu na siasa za kujaribu kuonyesha kuwa CHADEMA ilhali ukweli ni kinyume chake.
Number never lies yaani namba huwa hazisemi uongo. Tuangalie kidogo matokeo ya Uchaguzi Mkuu mwaka jana(2015).
na 2010 tu ili tuone CHADEMA ilipo kwa sasa:
Edward Ngoyayi Lowassa..................6,000,000+ (39.97%).
John Joseph Pombe...........................8,000,000+ (58.46%).
Matokeo ya mwaka 2010:
Wilbroad Peter Slaa...........................2,700,000+(21.0%)
Jakaya Mrisho Kikwete.......................5,200,000+(61.0%)
Sasa ukiangalia Takwimu hizi ni dhahiri kabisa kuwa CCM wanazidi kuporomoka na CHADEMA inapanda. Kwa namba hizi Uchaguzi wa mwaka 2020 utakuwa ni mgumu sana kwa CCM. Namba hazidanganyi bhana.
Mwaka 2010 jumla ya kura za upinzani (Chadema+Others) zilikuwa 39% na kumwachia Ccm 61%. Mwaka huo chadema ilipata 21% hivyo vyama vingine vya upinzani vilipata 18%.
Mwaka 2015 jumla ya kura za upinzani zilikuwa (Chadema + others, kwa jina la ukawa) zilikuwa 40% na kumwachia Ccm 60%. Hizo 40% za upinzani zilikuwa dumped kwa Lowasa wa chadema. Hazikuwa za chadema pekee yake. Zilikuwa za upinzani wote. Hivyo utaona hakuna tofauti yo yote ya maana (no significant statistical diference, p = 1) ukilinganisha na za mwaka 2010. Hivyo we can assume that in 2015 kura za chadema zilikuwa 22% na zile za wapinzani wengine 18%.
That is the way to interprate numbers my dear friend. Dont just jump to conclusions. Ndiyo maana wengi walikimbia Hisabati na kwenda sanaa. Kama hali itaendelea hivi matokeo ya 2020 at best yatakuwa vile vile na kuna uwezekano mkubwa kura za upinzani zitaporomoka zaidi kama JPM ataendelea na hii kasi yake ya kupambana na mafisadi.