Ni raia wenye asili ya kizungu wakishirikiana na mstaafu mmoja ambae ameahidiwa ulinzi na mrithi wake, kila mwisho wa mwaka mstaafu huyo hupenda kwenda kupumzika huko akiwa na familia yake.Hivi mmiliki wa Hotel ya Grumet ni nani?
Ni nani huyu? Hebu mtajeni, Aliwa kugombea Urais?Huyo mzungu raia wa Marekani ni mjanja ameanzisha makampuni tanzu yenye lengo moja
1. Grumeti safari
2. Grumeti reserve
3. Grumeti Sangita
4.Grumeti fund
5. Grumeti ViP
Mwenye uelewa na hayo amwagike hapa haraka wakuu
Watu hao wasingeweza kufanya jambo/tukio hilo sensitive pasipo maelekezo kutoka juu....Waziri wa wakati huo na pia Katibu Mkuu wa wakati huo na hata wakurugenzi wa idara husika wizarani lazima wanafahamu sakata Zima...Nchi hii ifike mahala tuheshimiane na kunyooka...haiwezekani washikwe watu wa chini tu....hao wengine nao wakamatwe na wahojiwe...justice doesn't 'look' into faces....justice should be seen by all to be fair... Key words here: justice, fair, all
Huyo mzungu raia wa Marekani ni mjanja ameanzisha makampuni tanzu yenye lengo moja
1. Grumeti safari
2. Grumeti reserve
3. Grumeti Sangita
4.Grumeti fund
5. Grumeti ViP
Mwenye uelewa na hayo amwagike hapa haraka wakuu[/QUOTE/]
Paul Tudor Jones
Tatizo kubwa hapo ni ahadi ya mil. 200. Huwezi kutoa jibu la kitaalamu kueleza ahadi kama hiyo. Tunajikanyaga tu bila kukumbuka kwamba aliyesema ni PM, mtu mwenye access na vyombo na taarifa zote za usalama wa nchi.yule aliyehojiwa na waziri mkuu alitaka kufafanua akakatishwa,huu mziki unaanzia makao makuu ya wizara,japo inasemwa taratibu zilifatwa,tena zote,sasa ukianza kuhoji wanyama wanavyokufa porini,kuna mtu huwa anakesha nao huko vichakani
Hapo sasa'Ni raia wenye asili ya kizungu wakishirikiana na mstaafu mmoja ambae ameahidiwa ulinzi na mrithi wake, kila mwisho wa mwaka mstaafu huyo hupenda kwenda kupumzika huko akiwa na familia yake.
Hivi mmiliki wa Hotel ya Grumet ni nani?
Lakini hii inaweza kuwa movie tu baada ya PM kuligusia tu akasitisha ziara ya mkoa wa Arusha gafla kwa nini hakumaliza ziara yake, nimehisi kuna mengi angeyafukua na kufanya wastaafu waumbuke washindwe kupumzika, inawezekana PM aliitwa gafla akaonywa tusubiri kama kutakuwa na muendelezo wa Marehemu John.Hapo sasa'
Tumeanza na mizigo ya kulipiwa kodi na sasa Bw John wa msituni. Kuna jambo lipo online.
cc; MANI
Ni bilionea wa kimarekani chief.Kama ni kufukua kaburi bilila hotel itafukuliwa
Huyu jamaa lakini hana Hoteli Serengeti pekee, Anazo Zimbabwe, na kama sikosei na Namibia, ila jamaa ni mbabe sana na anaogopwa mno, yeye mwenyewe kwanza anakuja mara moja moja sana ila pale kuna Makaburu nazani ndo wanaendeshaHuyo mzungu raia wa Marekani ni mjanja ameanzisha makampuni tanzu yenye lengo moja
1. Grumeti safari
2. Grumeti reserve
3. Grumeti Sangita
4.Grumeti fund
5. Grumeti ViP
Mwenye uelewa na hayo amwagike hapa haraka wakuu
Si vema kukimbilia kuhukumu. Waliokamatwa wanasaidia uchunguzi, wao ndio wa kutaja nani alitoa maelekezoHawa hawawezi kumpeleka faru bila kuelekezwa na uongozi wa hifadhi Na Wizara husika. Naamini wapo waliotelekeza jukumu hili kwa makusudi hao ndo wawajibishwe. Hawa ni kuwaonea kwanza hawana itifaki ya kuongea na tajiri anayemiliki grumeti game reserve.
Maghembe akae pembeni kupisha uchunguzi.Watu hao wasingeweza kufanya jambo/tukio hilo sensitive pasipo maelekezo kutoka juu....
Waziri wa wakati huo na pia Katibu Mkuu wa wakati huo na hata wakurugenzi wa idara husika wizarani lazima wanafahamu sakata Zima...
Nchi hii ifike mahala tuheshimiane na kunyooka...haiwezekani washikwe watu wa chini tu....hao wengine nao wakamatwe na wahojiwe...justice doesn't 'look' into faces....justice should be seen by all to be fair...
Key words here: justice, fair, all
IMPUNITY ndio jibu la kinacho endelea.how is it possible kifaru ambae anatambulika kwa jina kabisa anaondololewa kwenye crater anapelekwa sehem nyengine then taarifa haipo wizarani.
Ina maana wazir husika either wa awamu iliyopita na leo hawajaliona hilo swala mpka wazir mkuu aje kuona hapo kuna tatzo juu ya uhamishwaji wake.
Siamin sana hao watumish wa chin wana uwezo na nguvu kubwa kias hcho cha kufanya hayo maamuzi ya kumuhamisha / kufa kwa faru john then wayafanye bila boss wao asijue lolote.
Wakati faru anachukuliwa hakukuwa waziriWatu hao wasingeweza kufanya jambo/tukio hilo sensitive pasipo maelekezo kutoka juu....
Waziri wa wakati huo na pia Katibu Mkuu wa wakati huo na hata wakurugenzi wa idara husika wizarani lazima wanafahamu sakata Zima...
Nchi hii ifike mahala tuheshimiane na kunyooka...haiwezekani washikwe watu wa chini tu....hao wengine nao wakamatwe na wahojiwe...justice doesn't 'look' into faces....justice should be seen by all to be fair...
Key words here: justice, fair, all