Sakata la kuuawa kwa Faru John lachukua sura mpya. Watumishi watano watiwa mbaroni

Mkuu faru john alikuwa dume so anaweza kutia mimba majike 26 kwa siku moja maana taarifa nlizo nazo alikuwa dungadunga, labda useme kuwa huko porini kuna faru jike mmoja tu ndio angetumia miaka hiyo kupata watoto 26
Still hata kama kuna majike mengine 26 bado interbreeding ni tatizo, unatakiwa heri kuwa na balance au madume zaidi , ili thamani ya mbegu mpya sipungue
 
Kwani tukiambiwa GRUMETI ni ya nani? na alipelekwa kwa sababu gani? na vikao vilivyoidhinisha kupelekwa vipo? na baada ya kifo taarifa zipo hapo hakuna tatizo lakini hapo kunaonekana kuna makandokando tunaomba wawajibishwe kuna mfanyakazi mmoja alifukuzwa kazi kipindi cha huyo faru anapotea wamfuatilie huyo jamaa anajua kila kitu
Kunauwezekano ndio huyo aliempa habari kamili waziri kwa hasira ya kutemwa
 
Hivi huyo faru John anasifa zipi za ziada kushinda wenzake hapo Ngorongoro crater hadi kupotea kwake kulete sekeseke yote hii? Anayejua taarifa zake tafadhali anijuze.Ahsante.
Ana jina linalofanana na mh jpm.
 
Mh waziri mkuu ana anzaje kupambana na vidagaa wakati kuna waziri wa mali asili?au ndiyo mtiririko uleule wa kupambana na akina Chuwa wakati walifanya hivyo kwa maagizo ya kutoka ngazi za juu.
 
Daah kuna jamaa amenong'ona anasema eneo la Ikorongo na Grumeti lipo nje ya Hifadhi. Mwanzo lilikua chini ya idara ya wanyamapori ndio hilihilo aliepewa huyo Bilionea Paul Tudor Jones wajuaji wekeni nyama hapa
Huyu nae achunguzwe leseni yake
 
9579de9a8cb859497bb2478cbaf82a27.jpg
 
Back
Top Bottom