shadow recruit
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 1,844
- 384
- Thread starter
- #81
Ukimwangalia huyu tumbili huyu, sorry kafulila niwazi kuwa kuna force kubwa ipo nyuma yake ya kupush hii ajenda chafu ya kuchafua watu kwakuunda hili zengwe la iptl. Kafulila katika hali ya kawaida asingejitoa ufahamu na kujidhalilisha kisiasa kiasi hiki. Mbona wazi tu hili watu wamepata wanachostahili, haki yao. Siwaliwauzia umeme tanesco, mitambo ipo pale tegeta naniwawekezaji, ndio wamelipwa sasa chao. Kafulila awekeza nguvu zako kuwahudumia watu waliomchagua aache kutumika.