Sakata la IPTL na ESCROW: CAG anatumika vibaya

Sakata la IPTL na ESCROW: CAG anatumika vibaya

wewe weka hapa ushahidi namna anavyotumika kama si majungu
 
Kampuni PAP/IPTL inaendelea kuzalisha na kuuza umeme kwa Tanescokwa ari na ufanisi mkubwa. Uwezo wa mitambo yao ni mikubwa sana na ufanisi wake ni wa uhakika kabisa.Tufurahi Zaidi kuona watanzania wanafurahia huduma zinazotokana na PAP/IPTL,Uwepo wa mitambo hii, na uwepo wa kampuni ya PAP/IPTL inatosha kuwaaminisha wadau mbalimbali kwamba PAP/IPTL ni watu makini waliobobea kwenye kazi ya uzalishaji wa umeme.Na mengi mnayoyasikia na kuambiwa ni ama yanatokana nakutokuwa na uelewa mzuri kwa wanaoyasambaza, au yanatokana na chuki zakibiashara, ama yanatokana na kutafuta sifa za kisiasa, (political millage).Hivi karibuni mmekuwa mkisikia kwamba eti IPTL/PAP ina mgogoro na TANESCO mahakani,hili jambo siyo kweli, IPTL/PAP haina mgogoro wowote na TANESCO sio tumahakamani bali ata mahala pengine popote.

Hatuhitaji WAWEKEZAJI wezi.
 
Back
Top Bottom