Sakata la IPTL na ESCROW: CAG anatumika vibaya

shadow recruit

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
1,844
Reaction score
384
Katika hali isoyotarajiwa na wengi, hivi sasa imejidhirisha wazi kwamba CAG anatumika kisiasa ili kuandaa ripoti ambayo itawafuraisha wapinzani wa kibiashara wa IPTL.

Taarifa tulizonazo ni kwamba CAG amekuwa akiandaa ripoti ya ukaguzi wake huku akiwa bega kwa bega na wale waliyoshiriki kulilalamikia swala hili ambao ni KAFULILA&CO.

Mpaka hadi sasa haijulikani anatumika kwa maslahi ya nani?

Nikweli kwamba CAG hana mahusiano mazuri na baadhi ya maafisa wa serekali,je kuna haja ya kutumika kuwahujumu IPTL na serekali?

Soma pia: Uzi maalum wenye matukio yote yaliyojiri kwenye sakata la ufisadi wa ESCROW

kwa nini alazimeshe kusema mchakato ESCROW ni wakifisadi wakati watu wamelipwa hela zao baada ya kuuza umeme TANESCO?

Je walitaka umeme uchukuliwe bure?

Au IPTL ni mjomba wa TANESCO mpaka iwe hivyo?

Naomba kuwasirisha kwa masikitiko makubwa
 
mi nashangaa huu urafiki wa karibu wa cag na kafulila nilikua sielewi kabisa nini kiko nyuma yake,sasa naelewa
 
kwani mkuu wewe ulipata ngapi kwenye ule mgao? mwenzako mama anna tibaijuka alipata usd 1million equivalent na Tsh 1.663bilion
tuambie tafadhali.
Katika hali isoyotarajiwa na wengi, hivi sasa imejidhirisha wazi kwamba CAG anatumika kisiasa ili kuandaa ripoti ambayo itawafuraisha wapinzani wa kibiashara wa IPTL.

Taarifa tulizonazo ni kwamba CAG amekuwa akiandaa ripoti ya ukaguzi wake huku akiwa bega kwa bega na wale waliyoshiriki kulilalamikia swala hili ambao ni KAFULILA&CO.

Mpaka hadi sasa haijulikani anatumika kwa maslahi ya nani?

Nikweli kwamba CAG hana mahusiano mazuri na baadhi ya maafisa wa serekali,je kuna haja ya kutumika kuwahujumu IPTL na serekali?

kwa nini alazimeshe kusema mchakato ESCROW ni wakifisadi wakati watu wamelipwa hela zao baada ya kuuza umeme TANESCO?

Je walitaka umeme uchukuliwe bure?

Au IPTL ni mjomba wa TANESCO mpaka iwe hivyo?

Naomba kuwasirisha kwa masikitiko makubwa
 
Katika hali isoyotarajiwa na wengi, hivi sasa imejidhirisha wazi kwamba CAG anatumika kisiasa ili kuandaa ripoti ambayo itawafuraisha wapinzani wa kibiashara wa IPTL.

Taarifa tulizonazo ni kwamba CAG amekuwa akiandaa ripoti ya ukaguzi wake huku akiwa bega kwa bega na wale waliyoshiriki kulilalamikia swala hili ambao ni KAFULILA&CO.

Mpaka hadi sasa haijulikani anatumika kwa maslahi ya nani?

Nikweli kwamba CAG hana mahusiano mazuri na baadhi ya maafisa wa serekali,je kuna haja ya kutumika kuwahujumu IPTL na serekali?

kwa nini alazimeshe kusema mchakato ESCROW ni wakifisadi wakati watu wamelipwa hela zao baada ya kuuza umeme TANESCO?

Je walitaka umeme uchukuliwe bure?

Au IPTL ni mjomba wa TANESCO mpaka iwe hivyo?

Naomba kuwasirisha kwa masikitiko makubwa

Naona mapambano yameanza sasa...
 
sasa nimeanzaa kuelewa kumbe mambo yako hivi! Ni mambo ya kisiasa na ugomvi binafsi tu ila waana kimbilia kwa wananchi ili wapewe sapoti kwa kusingiziaa kwamba ni pesa za umma
Jamani mambo yenu malizaneni wenyewe
 
Katika hali isoyotarajiwa na wengi, hivi sasa imejidhirisha wazi kwamba CAG anatumika kisiasa ili kuandaa ripoti ambayo itawafuraisha wapinzani wa kibiashara wa IPTL.

Taarifa tulizonazo ni kwamba CAG amekuwa akiandaa ripoti ya ukaguzi wake huku akiwa bega kwa bega na wale waliyoshiriki kulilalamikia swala hili ambao ni KAFULILA&CO.

Mpaka hadi sasa haijulikani anatumika kwa maslahi ya nani?

Nikweli kwamba CAG hana mahusiano mazuri na baadhi ya maafisa wa serekali,je kuna haja ya kutumika kuwahujumu IPTL na serekali?

kwa nini alazimeshe kusema mchakato ESCROW ni wakifisadi wakati watu wamelipwa hela zao baada ya kuuza umeme TANESCO?

Je walitaka umeme uchukuliwe bure?

Au IPTL ni mjomba wa TANESCO mpaka iwe hivyo?

Naomba kuwasirisha kwa masikitiko makubwa
Tushachoka na kelele zenu kwa ujinga wako CAG ambaye anaendeshwa kwa kodi za wananchi unataka apindishe ukweli kuwabeba hao mafisadi hapo ndio ungefurahi. Ndio maaana nchi hii haiendi mbele kama wananchi wenyewe ndio kama wewe. Hofu yako ya nini kama kawaonea au kasema ukweli ukaguzi ni all about facts hivyo itajulikana mnatapatapa nini? Report haijatoka umejuaje kama inakula kwenu? Au mmempa kabilioni mlikompa Tibaijuka akakatolea nje? Subirini hata kama CAG akihongwa itajulikana one day
 
unapofanya jambo lolote ni vizuri ukatambua kunakipindi hambacho ni lazima utalipa na kafisadi wa iptl hii ndiyo zamu yenu kulipa wala msiangaike kutafuta mchawi
 
Ninatamani nikuzabe vibao laiti ningekuwa nakuona. Unawatetea wezi ptuuuu

Argue kama mtu mwenye uelewa na sio unabwabwaja acheni kutetea watu wanaotumia vyeo vyao kupiga wengine..hii haikubaliki kwa waungwana,mahakama inajua mchakato wote wa mradi wa iptl hadi mauziano ya hisa yalifuata sheria leo unasemaje mchakato ulivunja sheria
 
Tushachoka na kelele zenu kwa ujinga wako CAG ambaye anaendeshwa kwa kodi za wananchi unataka apindishe ukweli kuwabeba hao mafisadi hapo ndio ungefurahi. Ndio maaana nchi hii haiendi mbele kama wananchi wenyewe ndio kama wewe. Hofu yako ya nini kama kawaonea au kasema ukweli ukaguzi ni all about facts hivyo itajulikana mnatapatapa nini? Report haijatoka umejuaje kama inakula kwenu? Au mmempa kabilioni mlikompa Tibaijuka akakatolea nje? Subirini hata kama CAG akihongwa itajulikana one day

Tumia kichwa kufikiri mdogo wangu,mchakato wote hadi mwisho ulifuata sheria za nchi,CAG yupi ambae anaetunga ripoti kwa kushirikiana na wafanyabiashara wenye maslah kwny madini na nishati,hivi ni visasi vya kisiasa
 
Acha kutumia kichwa kufugia nywele tu! kwani we kafulila na CAG ndo unawaamini hawawezi kupiga deal? shirikisha viungo vyako vyote kabla hujaja hapa na mahaba ya kishabiki...
 
Ki vp ujanipata mkuu

Nimekupata mkuu ila mimi nadhani mtu kama CAG anaweza kuikandamiza serikali kwa shutuma za uongo ili hali yeye yupo serikalini na pia chombo kama TISS isingekubali huyu jamaa kufanya hivi kwa maslahi yake wakati uchaguzi mkuu upo karibuni.Nadhani CAG kafanya kazi yake kwa weledi.
 
Back
Top Bottom