Sakata la IPTL na ESCROW: CAG anatumika vibaya

Nimekupata mkuu ila mimi nadhani mtu kama CAG anaweza kuikandamiza serikali kwa shutuma za uongo ili hali yeye yupo serikalini na pia chombo kama TISS isingekubali huyu jamaa kufanya hivi kwa maslahi yake wakati uchaguzi mkuu upo karibuni.Nadhani CAG kafanya kazi yake kwa weledi.

Watanzania si watoto wachanga. Ni dhahiri kwamba CAG anatumika kwa maslahi ya genge la watu wachache wanaotaka kutumia suala la Escrow Account kujipatia umaruufu wa kisiasa. Iweje Ripoti ya CAG ambayo bado inasemekana haijatolewa na kukabidhiwa rasmi kwa mamlaka husika iwe ni gunzo mitaaani na nakala yake ipatikane kwa watu kama KAFULILA na ZK ?

Ofisi ya CAG ni ofisi nyeti sana katika ukaguzi na udhibiti wa kihasibu nchini. Lakini hali ilikofikia ni dhahiri kwamba CAG
na ofisi yake wamechukua kadi ya uanachama wa chama fulani cha siasa nchini , ambacho, kama tunavyokifahamu, kazi yake ni kuchochea vurugu, chuki, ubaguzi na maandamano yasiyo na tija kwa Taifa letu changa la Tanzania na wananchi wake. Aidha CAG ameonesha udhahifu mkubwa katika kusimamia maadili ya ofisi na taaluma yake.
 
Ngoma sasa inazdi kunoga.....mambo mwemwele mwemwele!...
 
Mie sijaelwa kosa la CAG hapa,ni kufanya auditing na kugundua madudu,kufanya repoti ijulikane mapema au ni kutokuficha ripoti?

Mkuu CAG anatumika vibay kwe nye hii issue coz katka maelezo ya wote waonao hukiyafatilia kwa umakin unajua waz kuwa jamaa anatumika vibaya
Na pia anatumia wanasisa ili kufanya issue iwe kubwa na pesa zionekane za umma wakat kila kitu kipo open
CAG jitambuwe nchi inakutambua na inakutegemea
Toa ripot ya kweli acha kuchezea akili za watz
 
Kweli mkuu maana CAG ni ni ofc nyeti iweje leo awe benet na kinazito na kafulila yan hapa leo ndo nimegundua waz kuwa CAG anatumika katika kwa maslai ya wafanyabiashara flan hivi

Hata mimi imenishangaza sana kafulila kuwa msemaji wa CAG huu ni mchezo mchafu unaendelea
 
Mkuu CAG anatumika vibay kwe nye hii issue coz katka maelezo ya wote waonao hukiyafatilia kwa umakin unajua waz kuwa jamaa anatumika vibaya
Na pia anatumia wanasisa ili kufanya issue iwe kubwa na pesa zionekane za umma wakat kila kitu kipo open
CAG jitambuwe nchi inakutambua na inakutegemea
Toa ripot ya kweli acha kuchezea akili za watz

CAG afahamu watanzania si wajinga tena,ndoa yake na kafulila katika kuandaa ripoti iliyotokana na hadidu za rejea kutoka kwa mengi hatutaivumilia kabisa
 
Watanzania si watoto wachanga. Ni dhahiri kwamba CAG anatumika kwa maslahi ya genge la watu wachache wanaotaka kutumia suala la Escrow Account kujipatia umaruufu wa kisiasa. Iweje Ripoti ya CAG ambayo bado inasemekana haijatolewa na kukabidhiwa rasmi kwa mamlaka husika iwe ni gunzo mitaaani na nakala yake ipatikane kwa watu kama KAFULILA na ZK ?

Ofisi ya CAG ni ofisi nyeti sana katika ukaguzi na udhibiti wa kihasibu nchini. Lakini hali ilikofikia ni dhahiri kwamba CAG
na ofisi yake wamechukua kadi ya uanachama wa chama fulani cha siasa nchini , ambacho, kama tunavyokifahamu, kazi yake ni kuchochea vurugu, chuki, ubaguzi na maandamano yasiyo na tija kwa Taifa letu changa la Tanzania na wananchi wake. Aidha CAG ameonesha udhahifu mkubwa katika kusimamia maadili ya ofisi na taaluma yake.

Kitendo cha CAG kuandaa ripoti kwa rejea za Reginald mengi na NIMROD MKONO NI UDHAIFU MKUBWA NA KUFELI KITAALUMA
 
Kafulila,jiandae kurudisha pesa ya watu,otherwise imekula kwako mkuu, kasha aliyoitengeneza Mengi ili umkomoe Muhongo imefeli Mkuu,
 
asa hapa ndo zaili kwamba hii issue ni ya wafanyabiashara wakubwa na wanasiasa wanatumiwa vibaya na huyo CAG
kafulila mkuu kiroho safi ludisha pesa za watu hii ngoma ngumu mkuu
 
Mkuu CAG anatumika vibay kwe nye hii issue coz katka maelezo ya wote waonao hukiyafatilia kwa umakin unajua waz kuwa jamaa anatumika vibaya
Na pia anatumia wanasisa ili kufanya issue iwe kubwa na pesa zionekane za umma wakat kila kitu kipo open
CAG jitambuwe nchi inakutambua na inakutegemea
Toa ripot ya kweli acha kuchezea akili za watz
Mkuu CAG ameanza kutrumika siku nyingi sana na wanaomwendesha na kumuelekeza ni hao hao mafisadi akina MKONO, ROSTAM, LOWASA NA MENGI pamoja na filimbi yao kafulila aka Tumbili
 
Hata mimi imenishangaza sana kafulila kuwa msemaji wa CAG huu ni mchezo mchafu unaendelea
umeona mkuu hawezekan ata kidogo CAG kusemewa na wanasiasa yan hapa ndo ndo mtu unajua kwamba kina MKONO na MENGI wanausika kuwatumia watu
 
asa hapa ndo zaili kwamba hii issue ni ya wafanyabiashara wakubwa na wanasiasa wanatumiwa vibaya na huyo CAG
kafulila mkuu kiroho safi ludisha pesa za watu hii ngoma ngumu mkuu
Huyu jamaa Kafulila kwa njaa zake anatufanya sisi watu wa Kigoma tuonekane watu wa ajabu sana, kwamba ni watu wa kutumika tumika tu, milioni tisini rudisha Kafulila kwa hao mabwana zako akina MKONO na MENGI zitakuytokea puani hizo hela
 
KAFULILA mkuu to be honest we ni mwasiasa mzuri ila kwa hili unajichafua mwenyewe

Chakukusaidia ni kurudisha pesa ulizo chukua kwa mabwana zako ili kujiweka safi ktk siasa zako
itakuja kukucost mkuu
 
ila ukweli hapa kwenye hili kuna mchezo mchafu na watu kutauta kick za kisiasa tu. Unachunguza nn wewe mtu kainvest mahela na mitambo yake pale tegeta leo kalipwa chake baada ya kusumbuliwa muda mrefu. kafulila kajaa povu iundwe tume, eeh jamani mtu kachukua chake cha halali tume, CAG na pccb wanann? kupoteza tu resources na kodi za walala hoi
 
Back
Top Bottom