Sakata la IPTL na ESCROW: CAG anatumika vibaya

Nimekupata mkuu ila mimi nadhani mtu kama CAG anaweza kuikandamiza serikali kwa shutuma za uongo ili hali yeye yupo serikalini na pia chombo kama TISS isingekubali huyu jamaa kufanya hivi kwa maslahi yake wakati uchaguzi mkuu upo karibuni.Nadhani CAG kafanya kazi yake kwa weledi.

Mkuu kwenye maslahi ya kifedha niwazi binadamu hatabiriki, alafu hawa watu wawili kafulila na CAG wanaonekana kabisa kwasasa wamepaniki baada ya kuona wamegundulika kuwa wanatengeneza dudu kwaajili ya maslahi ya kundi fulani nyuma yao. Alafu yeye amesha retire, Tiss hawana afsa habari, nahuwezi kupata taarifa yao kuwa wamedeal vipi na makandokando yaliyokuwa yakitengenezwa na CAG
 
jamani nilibanwa kidogo na majukumu ya kulea mme na watoto naona mjadala umefika patamu sasa,hebu mtoa mada kwamba Lowassa, Rostam,mengi na kafulila wanahusika na ramani hii ya kuchafua IPTL kwasababu za kisiasa alete ushahidi hapa,ili isije ikawa mnaongopa tu kwasabu ya kutubagua watu wa kaskazini tusiingie ikulu 2015

Mi nilishawai kusema kuhusu ili swala kwamba mbunge kafulila anatumika na wafanyabiashara wa kubwa ila raia zilikurupuka na kunishambulia
Ila nashukuru sasa mjadala unapoelekea tutakuja kuona uchafu wa CAG na MB kafulila katika hili sakata
ACHA MOVE IENDELE
 
kitaeleweka mwisho siku lazima tujue ukweli wa hili,ila shemeji yangu kafulila andaa bilioni 500 za watu ukalipe fine,lakini rostam atakupa usijali
 
mkuu kweli nimeamini kafulila na CAG wanatuka na nimejua baada kupitia mikataba ya IPTL na TANESCO
Mkuu kafulila unaenda kuumbuka vibaya ni bora nujiepushe na hili swala au kama pesa umekula we zirudishe tu maana unakuja kujishusha kisiasa na heshima yako
USHAULI WA BURE
 
Mkuu kweli rostam yupo asiwe na wasi
Lakin akumbeke heshima yake ndan ya inchi inashuka vibaya mnoo
 
mkuu kweli nimeamini kafulila na CAG wanatuka na nimejua baada kupitia mikataba ya IPTL na TANESCO
Mkuu kafulila unaenda kuumbuka vibaya ni bora nujiepushe na hili swala au kama pesa umekula we zirudishe tu maana unakuja kujishusha kisiasa na heshima yako
USHAULI WA BURE

wewe humjui kafulila kumbe,we wa wapi wewe, hivi umeshasikia vigogo watatu wanahusika hapo Mengi,Rostam na Mkono unadhani watashindwa kulipa hiyo bilioni 500,si kama ka hela ka ugoro tu
 
mkuu wewe CCM mwenzako nini yule jamaa kwani naye ni Raia wa Tanzania

Cja wahii na ctawezaa kuwa ccm maisha yangu yote
Jamaa kweli sio raia anaipeleka inch pabaya kwa pesa zake
Mi ningee kuwa rais wa inchi hii ningemtimua maana yeye ndo anaalibu inchi yetu kisa yeye anapesa
 
KAFULILA mkuu ebuu ebu jiepushee mapema maana mi cpend kuona home boi mwenzangu anaumbuka kwenye jamii
kwa ajili ya skendo kama hii ambayo unaweza kijiepusha mapema maana kule home tunakutegemea vibaya mnoo
 
Cja wahii na ctawezaa kuwa ccm maisha yangu yote
Jamaa kweli sio raia anaipeleka inch pabaya kwa pesa zake
Mi ningee kuwa rais wa inchi hii ningemtimua maana yeye ndo anaalibu inchi yetu kisa yeye anapesa

kama vipi watuachie nchi yetu naona tamaa zao za mali wanataka kuivuruga nchi yetu,rostam ana nyumba canada ataenda kuishi huko,mie recho ntakua mgeni wa nani
 
nakupenda nchi yangu Tanzania ntakua msema kweli daima wala sitasimama na wadhalimu
 
Vita dhidi ya ufisadi ni ngumu sana. Siyo rahisi kutenganisha mafisadi, viongozi wa kisiasa, taasisi za uma na hata wa dini.
Pia mafisadi wana mbwa wengi, wanaowafuga na hata wa kujitolea bure tu.
Mfumo wa kisheria unaweza kudhibiti ufisadi pale tu kunapokuwa na utashi wa kisiasa.
Jamii ya walio wengi, ambao ni masikini wanahitajika kujenga msingi wa kupinga ufisadi kwenye fikra zao na baadaye vitendo vyao vitasafisha ufisadi kwa nguvu ya uma!
Tukirudi kwenye topic, Kafulila ni mtu muhimu na anastahili pongezi kwa kupuliza filimbi kwamba jamii imeibiwa. Kuwa kwake karibu na CAG ni katika kutoa ushahidi wa tuhuma hizo ili kupata ukweli!
 
Nikweli kabisa mkuu vita dhidi ya ufisadi ni ngumu sana, ila nakuomba upunguje jazba na ufuatilie sakata hili la iptl kwa umakini sana kama unataka kujua ukweli hata mimi kabla sijazama na kula nondo za kutosha nilipatwa na muhemko kama wewe mwanzo. Ufisadi kweli upo katika nchi yetu na mpaka sasa kesi nyingi tu zipo mahakamani bado na chunguzi nyingi tu zinafanyika. Lakini kwenye hili la iptl mkuu rest assured kwamba hakuna ufisadi hapa ni janjajanja za wafanyabiashara na unafki wa kisiasa tu huu. Hili ni skendo la kupikwa ili watu fulani wapakane matope. Alafu mkuu kwenye hili la nguvu ya umma, kama nikukipika kizazi chetu kwa suala la uzalendo sawa, watu wawe wazalendo kwa nchi yao, ili wapatikane viongozi ambao kweli watapigania umaskini wa watu wao. Ila naomba usiwe na fikra za nguvu ya umma inayofanana na ile ya Arabu Spring maana hapo nnamashaka kwamba kwa sisi na mazingira yetu na hulka na mikakati ya mabeberu tunaweza tusitoke salama na mkuu amani nikitu kikubwa sana hata kama unalala njaa leo.
Tukirudi kwa kafulila na CAG mkuu bado na kushauri uzame vizuri tu utagundua hila zao hawa jamaa, driving behind them pia utaiona, zama tu mkuu hata JF humu yameandikwa mengi tu yatakayo kujuza ukweli juu ya hawa vibaraka wanavyotumika.
 
Vita dhidi ya ufisadi ni ngumu sana. Siyo rahisi kutenganisha mafisadi, viongozi wa kisiasa, taasisi za uma na hata wa dini.
Pia mafisadi wana mbwa wengi, wanaowafuga na hata wa kujitolea bure tu.
Mfumo wa kisheria unaweza kudhibiti ufisadi pale tu kunapokuwa na utashi wa kisiasa.
Jamii ya walio wengi, ambao ni masikini wanahitajika kujenga msingi wa kupinga ufisadi kwenye fikra zao na baadaye vitendo vyao vitasafisha ufisadi kwa nguvu ya uma!
Tukirudi kwenye topic, Kafulila ni mtu muhimu na anastahili pongezi kwa kupuliza filimbi kwamba jamii imeibiwa. Kuwa kwake karibu na CAG ni katika kutoa ushahidi wa tuhuma hizo ili kupata ukweli!

Mkuu uliyoyazungumzaa ni kweli kabisa lakini ulivyo rudi kwenye topic kwa kafulila kuwa karib na CAG ni kwa ajiri ya kupata ushaidi kwa hapo utakuwa unaupendo wa kisiasa
Ukweli ni kwamba kuna watu wazito nyuma ya hii skendo na wanatumia pesa zao ili kuibadilisha hii issue ili ionekani ya kiumma zaid kwa kupitia wanasiasa na viongozi waandamiz wa serekali kavile CAG
Mkuu muda utafika na nyaraka zote zitaanikwa humu jamvi na ndoo utajuja kwamba kafulila na CAG wanatumika kwa na wao wanajiita wafia nchi japokuwa wengine si raia watz na wao wamo
Kafulila anapower kubwa ya kushawish na ndomaana ma jamaa yamtumia kwa ukaribu sana
Tunajua kwamba kafulila kapokea ml 90 kutoka kwa mkono + rostam na uzuri wa rostam akikupa pesa ni lazima akusainishe kwanza sasa na yeye kafulila atatuambia hapa jamvini zile pesa alipewa ni za nn

Kwa hiyo mkuu endelea kufatilia mjadala vizuri ndo utakuja jua kwamba amna ufisad wowote uliofanya na zile pesa c za umma
ila ni ugomvi tu wa wafanyabiasha wakubwa
 
mambo yanazidi kuwa matamu sasa kafulila mbona hauji kujibu hizi tuhuma za kusainishwa hela,ila kafulila bado kijana mwacheni apige hela ila sasa hizo bilioni 500 za fine kwa kuwachafua iptl ndio zinaniumiza kichwa,au atapiga magoti alie kama alivyomlilia mbatia amsamehe baada ya kuharibu nccr mageuzi
 
My be
lakini ilo la fine lazima akaombee msaada kwa maboc zake
 
Back
Top Bottom