Sakata la IPTL na ESCROW: CAG anatumika vibaya

Sakata la IPTL na ESCROW: CAG anatumika vibaya

Mie sijaelwa kosa la CAG hapa,ni kufanya auditing na kugundua madudu,kufanya repoti ijulikane mapema au ni kutokuficha ripoti?
 
Tushachoka na kelele zenu kwa ujinga wako CAG ambaye anaendeshwa kwa kodi za wananchi unataka apindishe ukweli kuwabeba hao mafisadi hapo ndio ungefurahi. Ndio maaana nchi hii haiendi mbele kama wananchi wenyewe ndio kama wewe. Hofu yako ya nini kama kawaonea au kasema ukweli ukaguzi ni all about facts hivyo itajulikana mnatapatapa nini? Report haijatoka umejuaje kama inakula kwenu? Au mmempa kabilioni mlikompa Tibaijuka akakatolea nje? Subirini hata kama CAG akihongwa itajulikana one day

Mtoto hajazaliwa wewe unanunua nepi wapi na wapi? Mnatuzuga tu naamini kwa mazigira ya sasa ya kisiasa CAG hawezi kuiangusha CCM piga ua.Uzi huu umeletwa makusudi kuangalia hali ya upepo.UKWELI hauwezi kufichwa milele leteni pesa zetu.CAG to ripoti tunaisubiri kwa hamu
 
Inaionekana hujui kuwa CAG haruhusiwi kuwa na wadhifa wowote baada ya kustaafu karudie kusoma Public Audit Act brother!

Mkuu afadhali umetusaidia maana tungekuwa tunampigia mbuzi gitaa kwa stori za mtu za kutunga.Hapa nondo bin nondo.
 
Wewe kweli Abunuwasi. Khah!
mtahangaika sana lakini ukweli ni kwamba mmeliibia taifa hili na wengi wetu tunaumia sana na hii dhulma yenu. natamani mngelaaniwa kwa kuchangia kwa kiasi kikubwa waTanzania wasio na hatia kuteseka mahosipitalini na kwengineko kwa sababu ya wizi wenu.
 
Mtoto hajazaliwa wewe unanunua nepi wapi na wapi? Mnatuzuga tu naamini kwa mazigira ya sasa ya kisiasa CAG hawezi kuiangusha CCM piga ua.Uzi huu umeletwa makusudi kuangalia hali ya upepo.UKWELI hauwezi kufichwa milele leteni pesa zetu.CAG to ripoti tunaisubiri kwa hamu

Kweli kuna umuhmu wa elimu ya awali,CAG anatumika vibaya na Ma ccm just kama alivyotumika hosea kwny richmond
 
Kweli kuna umuhmu wa elimu ya awali,CAG anatumika vibaya na Ma ccm just kama alivyotumika hosea kwny richmond

Kwelii mkuuu kunaitajika sana elimu ya awali kuhusu humchakato ni muhimu coz raia humu ndani wanackiliza hoja za upande mmoja na hili ndo tatizo kubwa humu na wakati wa kuchangia anakuwa anapanik na kuchangia bila fact
ushauri wangu wa bure kwa wanajf tujaribu kusoma hoja za pande zote then ndoo tutoe maoni yetu
 
Unajua mimi kuruta hua nakuona hujielewi kumbe una akili smtimes,
 
Mchunguzi yeyote lazima awe karibu na mlalamikaji ili apate taarifa zaidi zitakazo muwezesha kufanya u chunguzi vizuri hivyo sioni hoja.

Duu hi mpya,mbona huyo CAG haji kwa sisi walalamikaji namba moja,why awe zitto na kafulila tu,tumia akili
 
Duu hi mpya,mbona huyo CAG haji kwa sisi walalamikaji namba moja,why awe zitto na kafulila tu,tumia akili

Kulalamika kwenye forum ataingiaje humu akupate peleka document na vielelezo vingine nimzushi nini
 
Kulalamika kwenye forum ataingiaje humu akupate peleka document na vielelezo vingine nimzushi nini

This is too Big for u brother!..sisi wananchi wenye uelewa tumefanya zaidi ya hayo,na huku mtandaoni ni kuendeleza mjadala tu
 
mwenye maelezo mazuri alete hapa ni vipi serikali yetu ihusike na fedha za escrow wakati malipo yale ni halali kwa kazi ya kuiuzia umeme tanesco?
 
Wewe ndio unatumika vibaya kwa faida ya mafisadi.

duu kumbe wakati mwingine ukiwaza beyond other thinking capacity ni kutumika?, tumia akili ndugu yangu tuache kutumia uzawa ili kuwasukia zengwe wawekezaji wa nje waonekane mafisadi
 
Back
Top Bottom