Sakata la IPTL na ESCROW: CAG anatumika vibaya

Sakata la IPTL na ESCROW: CAG anatumika vibaya

Tushachoka na kelele zenu kwa ujinga wako CAG ambaye anaendeshwa kwa kodi za wananchi unataka apindishe ukweli kuwabeba hao mafisadi hapo ndio ungefurahi. Ndio maaana nchi hii haiendi mbele kama wananchi wenyewe ndio kama wewe. Hofu yako ya nini kama kawaonea au kasema ukweli ukaguzi ni all about facts hivyo itajulikana mnatapatapa nini? Report haijatoka umejuaje kama inakula kwenu? Au mmempa kabilioni mlikompa Tibaijuka akakatolea nje? Subirini hata kama CAG akihongwa itajulikana one day

Acha Ushamba wewe. CAG kwenye hili hajatumia weredi wowote na kwakweli ni haki kwa wanaomuhisi amepiga deal na kina Kafulila.

Labda nikuulize swali dogo tu. Hivi IPTL ni Shirika la umma?.
 
Tumia kichwa kufikiri mdogo wangu,mchakato wote hadi mwisho ulifuata sheria za nchi,CAG yupi ambae anaetunga ripoti kwa kushirikiana na wafanyabiashara wenye maslah kwny madini na nishati,hivi ni visasi vya kisiasa

Nenda kule.. katunga report vipi, toa ushahidi. Mmeshikwa pabaya sasa chupi zinabana.
 
Nimekupata mkuu ila mimi nadhani mtu kama CAG anaweza kuikandamiza serikali kwa shutumaZa uongo ili hali yeye yupo serikalini na pia chombo kama TISS isingekubali huyu jamaa kufanya hivi kwa maslahi yake wakati uchaguzi mkuu upo karibuni.Nadhani CAG kafanya kazi yake kwa weledi.

Kila binadamu ana bei yake kurubuniwa.

CAG ameahidiwa kuwa waziri Wa fedha Wa serikali ya mbia mmoja anayepambana kuiangusha serikali ya sasa kupitia SKENDO ZA KUTUNGA KAMA IPTL na nyinginezo
 
Katika hali isoyotarajiwa na wengi, hivi sasa imejidhirisha wazi kwamba CAG anatumika kisiasa ili kuandaa ripoti ambayo itawafuraisha wapinzani wa kibiashara wa IPTL.

Taarifa tulizonazo ni kwamba CAG amekuwa akiandaa ripoti ya ukaguzi wake huku akiwa bega kwa bega na wale waliyoshiriki kulilalamikia swala hili ambao ni KAFULILA&CO.

Mpaka hadi sasa haijulikani anatumika kwa maslahi ya nani?

Nikweli kwamba CAG hana mahusiano mazuri na baadhi ya maafisa wa serekali,je kuna haja ya kutumika kuwahujumu IPTL na serekali?

kwa nini alazimeshe kusema mchakato ESCROW ni wakifisadi wakati watu wamelipwa hela zao baada ya kuuza umeme TANESCO?

Je walitaka umeme uchukuliwe bure?

Au IPTL ni mjomba wa TANESCO mpaka iwe hivyo?

Naomba kuwasirisha kwa masikitiko makubwa
...kweli we kuruta....naona umejiunga majuzi JF kwa ajili ya kuwatetea majizi ya utawala huu wa mafisi....hili suala la IPTL hakika limewabamba huko serikalini.....Kinachotia moyo ni kuona kuwa issue ya huu wizi wa funds za escrow imevaliwa njuga pia na washirika wa maendeleo kama UK(development partners)...na kwa maana hiyo hata mkijitahidi kumtia hofu CAG...bado ukweli utadhihirika......Labda nikukumbushe tu kuwa hata issue ile ya EPA mlihangaika hivi hivi...lakini baadae ukweli ulipodhihirika mlinywea saana....This IPTL issue is bigger than many people like you can imagine....its just a matter of time.....hata mkimhujumu CAG.....haitasaidia....
 
Inakera tanzania kuwa na viumbe haina yako na wale wanaokushabikia, kumbuka watanzania wenzio wanakufa ama kwa kukosa dawa hospitalin ama kuwa mbali na huduma za afya alafu wewe unongea sijui niiteje
 
...kweli we kuruta....naona umejiunga majuzi JF kwa ajili ya kuwatetea majizi ya utawala huu wa mafisi....hili suala la IPTL hakika limewabamba huko serikalini.....Kinachotia moyo ni kuona kuwa issue ya huu wizi wa funds za escrow imevaliwa njuga pia na washirika wa maendeleo kama UK(development partners)...na kwa maana hiyo hata mkijitahidi kumtia hofu CAG...bado ukweli utadhihirika......Labda nikukumbushe tu kuwa hata issue ile ya EPA mlihangaika hivi hivi...lakini baadae ukweli ulipodhihirika mlinywea saana....This IPTL issue is bigger than many people like you can imagine....its just a matter of time.....hata mkimhujumu CAG.....haitasaidia....

Hata akaunti yako ilikua mpya na ulikua unapost tunakuangalia,hyo sio hoja
 
Hata akaunti yako ilikua mpya na ulikua unapost tunakuangalia,hyo sio hoja

Hili suala litawaumiza watu wengi sana.Tumechoka kutufanya sisi wananchi wa kawaida kama vikaragosi.Watatumia hela nyingi kujisafisha ila ukweli utabakia pale pale kama mlima Sayuni.
 
Baada ya CAG kufichua ufisadi wenu na ukaanikwa hadharani hapa jamvini ninaona mmejipanga kujinusuru kwa kuja kupotosha hapa jamvini ila tatizo mnaandika porojo. Subirini hukumu yenu imekaribia na kwa hili hamchomoki labda mrudishe hela mlizoiba. Mlitaka CAG afiche ripoti hii ili mkiipata muiweke mvunguni ili mfunike kombe sasa mmeipata.
 
...kweli we kuruta....naona umejiunga majuzi JF kwa ajili ya kuwatetea majizi ya utawala huu wa mafisi....hili suala la IPTL hakika limewabamba huko serikalini.....Kinachotia moyo ni kuona kuwa issue ya huu wizi wa funds za escrow imevaliwa njuga pia na washirika wa maendeleo kama UK(development partners)...na kwa maana hiyo hata mkijitahidi kumtia hofu CAG...bado ukweli utadhihirika......Labda nikukumbushe tu kuwa hata issue ile ya EPA mlihangaika hivi hivi...lakini baadae ukweli ulipodhihirika mlinywea saana....This IPTL issue is bigger than many people like you can imagine....its just a matter of time.....hata mkimhujumu CAG.....haitasaidia....

Mkuu hizii ni bifu za watu furan ktk biashara zao so CAG nae anafaida yake
 
CAG hawezi tumika vibaya na ataleta kinachotarajiwa kwani amekuwa akifanya kazi kwa uelidi na ndo maana hadi leo hajapata kashfa yeyte

Hao iptl,wizara ya nishat na madini,na benk kuu ni wezi tu acha kutumika
 
Baada ya CAG kufichua ufisadi wenu na ukaanikwa hadharani hapa jamvini ninaona mmejipanga kujinusuru kwa kuja kupotosha hapa jamvini ila tatizo mnaandika porojo. Subirini hukumu yenu imekaribia na kwa hili hamchomoki labda mrudishe hela mlizoiba. Mlitaka CAG afiche ripoti hii ili mkiipata muiweke mvunguni ili mfunike kombe sasa mmeipata.

Ukweli utabaki kuwa ukweli CAG anatumiaa kwa watu fulan wee ushangai kafulila kutaja mpaka tarehe ya kustafu ya mtu fulan wee una hisi alijuaje
 
Baada ya CAG kufichua ufisadi wenu na ukaanikwa hadharani hapa jamvini ninaona mmejipanga kujinusuru kwa kuja kupotosha hapa jamvini ila tatizo mnaandika porojo. Subirini hukumu yenu imekaribia na kwa hili hamchomoki labda mrudishe hela mlizoiba. Mlitaka CAG afiche ripoti hii ili mkiipata muiweke mvunguni ili mfunike kombe sasa mmeipata.
 
Ulipendaje wewe?.
huoni hiyo ni kero? huwezi kutunga habari za kufikirika kuwa CAG anatunga ripoti au kukagua mahesabu ni hatua ngapi zinapitia mpaka kukuta CAG?
Hizo Halmashauri na Mashirika yote ni saa ngapi atashika vitanu na kukagua mpaka akapange na Kafulia na ESCROW /TANESCO / KAFULILA Co
siku za kustaafu UTOH zimewadia

mwacheni akapumzike kazi aliyoifanya ni kubwa sana hayo madudu kawaacjieni mkimgundua mkamshitaki lakini mjue CAG ni Taasisi si UTTOH
Hii ID ni ya Member mmoja na hata uchangiaji wake unajionesha
huwezi kuuliza maswali na kujijibu la sivyo tutawaomba MODS waangalie IP Adreess MTAUMBUKA
mimi kuruta

Today 11:32

Member Array

Join Date : 14th September 2014
Posts : 18

Likes Received1
 
Dah yaan me hili scandal mpaka sasa nashindwa kuielewa.... IPTL kafanya biashara na Tanesco mwishowe IPTL kalipwa chake ki roho safi lakini wanasiasa na njaa zao wako busy kupiga kelele.

Kama hiyo pesa wananchi tumekua tukiilipa kwa muda wote wa hiyo miaka ambayo tulipata huduma ya umeme wa IPTL kuna ubaya gani kama wakilipwa chao watoa huduma??? Hv hizo pesa ni za nani kati ya Tanesco na Iptl???

Je, iptl walikua wanatoa bure huduma ya umeme???
Naomba kuelimishwa ili nielewe.
 
Back
Top Bottom