Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
View: https://www.youtube.com/live/-ws4Ojesg7U
Vijana katika sekta isiyo rasmi wapo 80%. Kila uchao wanahamishwa na kukimbizwa. Hawana bima ya afya wala pensheni. Ndio maana nasema Vijana tuungane na tupaze sauti dhidi ya ukosefu wa ajira na hatma yetu." Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo.
Mjadala wa Kitaifa wa Ajira unaendelea hapa katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema Makao Makuu ya
ACT Wazalendo, Magomeni Dar es Salaam.