Saizi ametoka kuniuliza swali kwamba.....

Saizi ametoka kuniuliza swali kwamba.....

Kama akipata bwana mpya na huyo mwanaume akaamua kunipa 500,000 ili nimuache.... je nitakubali??

Nilicho kifanya, nimempa my account number niwekewe hiyo pesa chap....🤗

Au nimekosea wakuu...😎
Senior umepatwa na nini siku hizi,mbona umekuwa king'ang'anizi hivyo au ndio umri unakutupa...?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom