Saizi ametoka kuniuliza swali kwamba.....

Kama akipata bwana mpya na huyo mwanaume akaamua kunipa 500,000 ili nimuache.... je nitakubali??

Nilicho kifanya, nimempa my account number niwekewe hiyo pesa chap....🤗

Au nimekosea wakuu...😎
Ungemwambia kuwa hata bila hela unamgawa bure tu 😂😂😂
 
Last week aliniambia eti ameenda kupima akaambiwa anawatoto mbili kwa tumbo, mie nikamjibu akamtafute baba wa huyo mtoto wapili....🫤
Bora nisubirie kesi ya Lisu live tu hapa...🙄
 
Kama akipata bwana mpya na huyo mwanaume akaamua kunipa 500,000 ili nimuache.... je nitakubali??

Nilicho kifanya, nimempa my account number niwekewe hiyo pesa chap....🤗

Au nimekosea wakuu...😎
Hujakosea mkuu dunia ina zaidi ya watu bilion nane, Tanzania ina zaidi ya watu milion sabini na zaidi ya nusu ya idadi ni wanawake. Sasa huyu mmoja ni kitu gani utapate wengine
 
Kama akipata bwana mpya na huyo mwanaume akaamua kunipa 500,000 ili nimuache.... je nitakubali??

Nilicho kifanya, nimempa my account number niwekewe hiyo pesa chap....🤗

Au nimekosea wakuu...😎
Kwenye miti hakuna wajenzi....
 
Back
Top Bottom