Mkubwa hayo si kwako tu!
Falsafa ya wanawake takriban 80% ya dunia nzima inafanana .
Mf. Mie hua nna toolbox yangu for home use only !
Utundu ulinifunza mengi .
Bomba linavuja hom nakomaa nalo , siju stuli imevunjika mguu ninayo !
Sijui socket ya fridge imefanyaje , fridge haiwaki nacheza nayo .
Nina mpaka tools za kufungua simu. Sasa adui wangu mkubwa wa tools ni wife wangu .
Mi mwenyewe nauficha mkoba wangu room kwetu , coz wanangu nawajua ni watundu kwa kwenda mbele .
Mara unakuta kafanya usafi , mkoba kautoa .
Unauliza mkoba mbona siuoni ?
Jibu
"korokoro chumbani kwangu staki "
Ilhali aviitavyo korokoro ukivihesabu ni tools za karibu laki 3 !
Ukienda alipouhamishia mkoba unakuta tools flaniflani hazipo !
Wakati zikitengeneza pasi ya hom tunanyoosha wote!
Aaah wanawake Shkamooni .