Sio poa Brother Saigon. Hayuko sawa Mwamba. Ni kama yuko katika dunia mbili na haelewi dunia ipi anataka kuishi. Inauma sana hii.
Sababu ni niniSio poa Brother Saigon. Hayuko sawa Mwamba. Ni kama yuko katika dunia mbili na haelewi dunia ipi anataka kuishi. Inauma sana hii.
Not true mwaka 2022 nilikutana Naye sinza akiwa amelewa chakali na it was like pombe zilikuwa zinamtia uchizi,akaniomba sh 200 nikampaDepression ipi hapo?
Saigon amekuwa ana swali sana ni miaka sasa... ameamua kubadilika...
Kwanini hukumnyima?Not true mwaka 2022 nilikutana Naye sinza akiwa amelewa chakali na it was like pombe zilikuwa zinamtia uchizi,akaniomba sh 200 nikampa
Ukikuta mtu amelewa chakali akakuomba Sh 200ina maana ana depression?Not true mwaka 2022 nilikutana Naye sinza akiwa amelewa chakali na it was like pombe zilikuwa zinamtia uchizi,akaniomba sh 200 nikampa
Si ndo hii hapo ame attachleo nimekutana na video ya mwamba sigon huko mitandaoni kama analalamika eti anapelekwa police. je, ni kweli?
Umekosea hiyo lineMama rudia ana watoto wawili wa kwanza anaitwa tena wapili ataitwa naniii?
Yeah mimi sio SAIGONUmekosea hiyo line