Saigon The Emcee depression inamtesa

Saigon The Emcee depression inamtesa

Huyo tokea apigwe bomba kutoka UK mambo yalibadilika,kipindi mutie mengi alimsupport sana
Kipindi hicho anasoma tambaza alikuwa smart sana mbona
Tatizo unyamwezi mwingi,na sahv dini kama imemuingia sana huyo saleh....

Ova
"Apigwe bomba"...! Fafanua kidogo mzee wa Kino.
 
Huyo tokea apigwe bomba kutoka UK mambo yalibadilika,kipindi mutie mengi alimsupport sana
Kipindi hicho anasoma tambaza alikuwa smart sana mbona
Tatizo unyamwezi mwingi,na sahv dini kama imemuingia sana huyo saleh....

Ova
Alipigwa risasi?
 
Not true mwaka 2022 nilikutana Naye sinza akiwa amelewa chakali na it was like pombe zilikuwa zinamtia uchizi,akaniomba sh 200 nikampa
Honestly, kuna watu pombe haziwapendi. Wanakua kama vichaa.
 
Huyo tokea apigwe bomba kutoka UK mambo yalibadilika,kipindi mutie mengi alimsupport sana
Kipindi hicho anasoma tambaza alikuwa smart sana mbona
Tatizo unyamwezi mwingi,na sahv dini kama imemuingia sana huyo saleh....

Ova
Mchizi wake Ahmed Dolla, nyundo kadhaa sasa yuko mbele.
 
Huyu mtu aisee aiifanyia haki hip-hop.
Chid Benz anangoja, sema alipotea tu na dini
 
Wakazi wengi wa Dar es salaam wamechanganyikiwa kama huyu mwamba. Siku moja mitaa ya kati nilikutana na rafiki yangu wa zamani Kassim, na yeye alivaa kanzu na kilemba kama huyu. Alisema anatoka msikitini, akanihubiria mambo ya kumrudia Mungu vizuri tu, tulivyotoka hapo tukajiunga na marafiki wengine kule Samaki Samaki, Oysterbay, tukapiga konyagi mpaka asubuhi. Kila nikimkumbuka ustaadh wangu nacheka
 
Ganja
 
Back
Top Bottom