Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,465
- 29,654
Katika kijiji fulani wanakijiji walimkuta mhindi mmoja akiwa kando ya mto akilia kwa uchungu;
Mhindi: Saidia mimi, dugu yake napotea! Saidia mimi dugu yake toka Italy nazama maji mie hawezi ogelea hawezi okoa yeye!
Wanakijiji kwa moyo wa huruma wakajitosa ndani ya mto wenye hatari ya mamba kujaribu kumtafuta na kumwokoa huyo ndugu yake Mhindi aliyesemakana kuzama ndani ya maji. Baada ya jitihada ya kama saa nzima, Wanakijiji walikata tamaa na kurudi kwa yule mhindi aliyekuwa bado akisononeka kando ya mto. Kwa masikitiko Mwenyekiti wa Kijiji akasema;
Mwenyekiti: Samahani sana ndugu yangu, tumejitahidi kumtafuta ndugu yako lakini imeshindikana. Ila tulipozamia tumeweza kupata hiki kiatu kimoja, sijui kama kilikuwa cha ndugu yako"
Ghafla yule Mhindi, akitabasamu kwa furaha alijibu"
Mhindi: Sante sana kusaidia mimi, hii ndio dugu yake kiatu yangu nanunua bei kubwa sana Italy. Naona hapa ilibaki moja kwenye guu ya kushoto sasa wewe nasaidia mimi kupata dugu yake ya guu ya kulia".