wilchuma
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 1,102
- 333
Mmiliki Wa Shule ipi?
st Zion
Mmiliki Wa Shule ipi?
hii inanikumbusha mtoto mmoja wa kigogo aliyemuua demu wake.mtoto wa waziri wa zamani, tatu ntimizi anaeitwa said ntimizi ametiwa mbaroni kwa tuhuma za mauwaji.
Mwenye data kamili atupe nyeti!
![]()
Kama hili tukio ni kweli na hii mbinu iliyotumika ni wazi atakuwa!Huyu hakuwa mwanachama wa chama chetu cha Mabwepande?
Thubutuuu!
Papaa msoffe kasanua, kesi imekuwa ya kughushi sijui nini. Na alex massawe anakula bata dubai
Iba wewe karanga za jirani yako tukunyooshe kwa rula.
Tukubaliane damu ya binadamu sio kama ya kuku.Unaongelea deni tu shogar? Mama ana jina pia. Ulishawahi kuona muuaji anakamatwa na polisi wanaringa ringa kutoa tamko? Mwaka mmoja mrefu ushahidi utakosekana. Akiachiwa unistue mama, ndio nchi yetu hii. Tunaivumilia
Aisee kumbe ni mumo kwa mumo?Matatizo yanayoipata familia hii ni kielelezo cha makuzi waliyopata kutoka kwa mama yao Tatu Ntimizi. Tatu Ntimizi akiwa Ofisa wa Polisi na mwendesha mashtaka Mahakama ya Kusutu kwenye miaka ya 1990s alikuwa mshirika mkuu wa majambazi. Kwa hiyo malipo ni hapahapa duniani
Dawa ni kuwatandika tu hao majaji kama wanavyofanya misri
hawa jaachiwa kweli?Hawa mapapaa wenye uhusiano Na ccm vipi kesi yao imeshia wapi chini ya hii serikali ya utawala wa kisheria na viwanda?
Wako nje kitambo sana.....Kesi Yao ilishamalizwa.....hawa jaachiwa kweli?
[emoji32] kwaiyo hakuna kesi tena?Wako nje kitambo sana.....Kesi Yao ilishamalizwa.....
OVA
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji26] [emoji26]Wako nje kitambo sana.....Kesi Yao ilishamalizwa.....
OVA