Said Ntimizi akamatwa kwa mauaji

Said Ntimizi akamatwa kwa mauaji

HAWA WAKINA NTIMIZI WANAJULIKANA KWA USHENZ..KUANZIA MAMA YAO HADI WATOTO..
LABDA NDG WA MAREHEMU WALIANISHE UPYA...ILA NASHANGA WAKO KIMYA SIJUI MLUNGULA UMETEMBEZWA ....AU?

OVA
KAMA NAO WAMEKULA KOBIZ BASI MLUNGULA UMEPENYAA.
 
Said Yuko nje kitambo sna na Bata nimekula zaidi ya mara kadhaa kwke Mbweni karibu na jkt nyumba ilioko pembezoni mwa bahari na Ni kaka wa mshikaji wangu.
Ndugu wa said(Mussa Ntimizi)aliekuwa mbunge Ana tuhuma za kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja,alipangisha nyumba sinza humo ndani akiwacha vijana wakifanya yao yeye akiwa kwenye vikao bunge na kazi za kiserikali,kifupi Ni mchicha..sema tu makali ya said yamepungua
 
Back
Top Bottom