Chadema inapoteza ushawishi wake kwa wananchi kwa kasi sana.
Baadhi ya vitu vinavyochangia kupoteza umaaarufu wake ni pamoja na tabia ya viongozi kuminya uhuru wa mawazo ikitokea ukatoawa mawazo yanayopongana na msimamo wa viongozi wakuu unaitwa msaliti na majina mengine mabaya,
Isipolekebishwa tabia hii ndio itakayokuwa kuwa kitanzi na kaburi la chama hiki.