Said Arfi: Katiba ya CHADEMA ina mapungufu

Said Arfi: Katiba ya CHADEMA ina mapungufu

kwani mkuu hebu tuambie mwana ccm akienda mahakamani inakuwaje?kwa mujibu wa katiba ya ccm?
Watu wana deal na mti wenye matunda tuu!.
We don't care kuhusu 'la kuvunda' wala 'sikio la kufa'!.
Pasco
 
arfi kama anataka kujiunda na ACT aseme tu kwani ni uhuru wake kufanya hivyo atuachie kadi yetu
 
Kwa kifupi haamini katika demokrasia
 
kwani mkuu hebu tuambie mwana ccm akienda mahakamani inakuwaje?kwa mujibu wa katiba ya ccm?

mkuu, tusifanye jambo kwa sababu CCM wanafanya, tufanye kwa kuangalia uhalali wake.

swali la kujiuliza, wakati kipengele hicho kinapita Arfi ama ZZK walikuwa wapi?? je? siyo wakati ambao walikuwa moja ya viongozi wakuu CDM? kwanini hawakusema wakati ule? kwanini leo??
 
Wewe nawe si ndio wale wale tu,unajiita huna chama kumbe muongo tu. Kila siku unaiponda CHADEMA huku ukijiita ni mwanajf usie na chama na sio mfuasi wa chama chochote. Lini uliwahi kusema mazuri ya CHADEMA wewe? Lini uliwahi kusema mabaya ya ccm?
Nimefarijika sana kumsoma Arfi akizungumzia kipengele hiki.
Mimi nilikizungumzia hapa.
[h=3]CHADEMA Ikipewa Nchi, October 2015, Hakuna Hatari Kugeu
[/h]Pasco
 
Anajichanganya tu huyu..
Mara katiba ya chama mara katiba ya nchi mara alitofautiana na viongozi mara sina shida na viongozi aaaah.
Blaah blaah mbumbumbuuu.

Mambo ya chama yanaamuliwaga na mahakama?
Kwahiyo chama kinaendeshwa na mahakama?

wewe mbilula siasa umeanza kushabikia jana hujui kitu mavi yako
 
Anajichanganya tu huyu..
Mara katiba ya chama mara katiba ya nchi mara alitofautiana na viongozi mara sina shida na viongozi aaaah.
Blaah blaah mbumbumbuuu.

Mambo ya chama yanaamuliwaga na mahakama?
Kwahiyo chama kinaendeshwa na mahakama?

Kuna baadhi ya wasomi wa nji hii, ukiwatafakari kwa kina wanasiktisha sana.Chadema au chama chochote hakiwezi kumzuia mtu kwenda mahakamani.Hata fifa hawamzuıı mtu kwenda mahakani na ndo maana mahakama zimekuwa zikipokea mashauri hayo.
 
Watu wana deal na mti wenye matunda tuu!.
We don't care kuhusu 'la kuvunda' wala 'sikio la kufa'!.
Pasco

Ok,naamini umeshindwa kunijibu.kimsingi ukiacha mlango wa mahakamani wazi,kuna mtu anaweza hata kukishitaki chama kisimame kufanya kazi zake ili kishughulikie madai yake kwanza,na mahakama si unajua hailazimishwi kufanya kazi zake?what if mahakama itaamua kupiga kalenda kesi wakati chama kinaingia kwenye uchaguzi?Mkuu sio jambo jema kushutumu bila kutafakari vizuri,mimi sio mwanasiasa ila naamini mwana ccm akiipeleka ccm mahakamani tu,ameisha.Ndomana kila mwana ccm atainua mapembe nje ya chama,ila ndani ya chama vichwa vyote chini.Bora hata cdm wamemung'unya maneno.
 
Anajichanganya tu huyu..
Mara katiba ya chama mara katiba ya nchi mara alitofautiana na viongozi mara sina shida na viongozi aaaah.
Blaah blaah mbumbumbuuu.

Mambo ya chama yanaamuliwaga na mahakama?
Kwahiyo chama kinaendeshwa na mahakama?

Hajajichanganya wewe ndo umeelewa kinyume kasema katiba ya chadema inamapungufu katika hicho kifungu na katika bunge la katiba hakenda kuwakilisha chama bali taifa kwa ujumla hvyo katiba mpya haijakidhi swala la mungano hivyo ataendelea kuipinga. bado hujaelewa?
 
Naziona dalili za kujirudi kwa mbunge huyu, labda baada ya kusoma upepo kwa kuaangalia mwitikio wa wananchi baada ya mwanasiasa wa tanzania anyetumia cheo kama cha --------- wa Iran au yule mwenzake wa Korea kaskazini.

Arfi amekuwa kiongozi wa ngazi za juu wa CDM, hivyo ni matarajiao yangu kuwa anafahamu na kanuni, taratibu na sheria za chama na pia alihusika kupitisha katiba anayopinga hii leo. hili sio tatizo kwani hutokea mtu akapata wazo la pili baada ya kutoea kwa kitu fulani. Ninachojiuliza ni vipi makamu mwenyekiti alalamike ubovu wa katiba? hakuna utaratibu wa ndani ya chama wa kuwasilisha mapendekezo ya kufanyika kwa mabadiliko ya katiba?

kadhalika sio sahihi kusema kuwa katiba ya chadema inapingana na katiba ya nchi kwa kuwazuia wananchama wake kupeleka migogoro yao mahakamani. Ingetokea vipi kama mahakama kuu ingeamua kwa upande wa kiongozi mkuu? Hivi Pale TTF wanaruhusu migogoro yao kupelekwa mahakamani?

Wakati tunaona ni vibaya kwa jaji moja wa mahakama kutengua ubunge wa anayedaiwa kuchaguliwa na mamia kama sio maelfu ya wanannchi, vipi leo tuone ni sahihi migogoro ya ndani ya chama kupelekwa huko?
 
Hii Chadema naona watabaki Wachaga tu na wale ambao akili zao ziko mkononi mwa Mbowe, wenye akili woote wanaanza kusepa.
 
Type ya viongozi kama said arfi, shibuda, letisia ( Yuda Iskarioti) hawana nafasi chadema. hao ndio walioshiriki na mashahiba wao kumtesa kamanda wilfred lwakatare na hata mauwaji yaliyofanywa dhidi ya wafuasi wa chadema pamoja na bomu la Arusha. EE mwenyezi Mungu uwape adhabu yao hapa duniani kabla hujawachukua.
 
Mheshimiwa Mbunge,
Sio kipengele hicho tu ambacho hakijakaa sawa viko vingi,too bad no one is Bold enough to challenge,the last time one Courageous man tried to stand up we all know what happened.Msaliti.
 
Arfi amekuwa mwanachama wa CHADEMA kwa zaidi ya miaka 10, amekuwa Makamu mwenyekiti wa CDM kalibuni miaka 5..na kama kiongozi ilibidi uifahamu vema katiba kuliko wanachama wa Kawaida…uliwezaje wewe kuitetea katiba ya CHADEMA wakati vipengele muhimu kama hivyo hukuvijua?

Kwa nini sasa hivi ndio uanze "kuifahamu" katiba wakati umetemwa ktk uongozi?? Sisi hatutashangaa kuwa utawaunga wasaliti wenzako huko ACT…na haitusumbui sababu huna madhara yeyote wewe msaliti.
Ndugu kuwa makini,unammezesha maneno ambayo hajaongea
Hakusema haifahamu/hakuifahamu kipengele/katiba ya chadema,anachosema hakubaliani na kipengele tajwa.Its common sense ni wewe tu ndio huoni,hivi what if ikitokea ukawa na ugomvi binafsi na Kiongozi mkubwa na yeye akaamua kukuundia zengwe ufukuzwe haki yako unaenda kuipata wapi? au ndio unaenguliwa chamani kwa chuki binafsi ya mtu mmoja? Is that how its supposed to be? Anyway ni chama chenu.
 
Back
Top Bottom