Said Arfi: Katiba ya CHADEMA ina mapungufu

Said Arfi: Katiba ya CHADEMA ina mapungufu

Mzee Arfi mwenyewe kwa muda wote aliokuwa Madarakani hajawahi kusema katiba ni mbovu.Amekuja kuiona mbovu baada ya kufukuzwa kiaina Umakamu Mwenyekiti.Mtu kama huyu anatumika na wala hastahili kueleweshwa chochote kwa hiyo unamwonea bure Nicholas.

Mimi nikiona nalalamikiwa na watu zaidi ya watatu siwezi kuthubutu kusema wao ndio wana makosa na mimi ni sahihi, kwani wamezaliwa na mama mmoja? pengine tatizo linaanzia kwangu na sikubali kushindwa. Haya mambo yakiendelea hivi ni kila mtu atashindwa kukitetea chama chenyewe. Na ukiona watu wanajitahidi kukikosoa ni kwa vile kilifikia hatua nzuri na hawataki kurudi kuanza mwanzo na kingine. Ila hata tufanye nini kuna kinachoendelea kule juu ambapo walio wengi chini hawaridhiki na wanashindwa kuchukua uamuzi, kwa vile hawajui hatima yao. Kadri wanavyopungua waliochanganya Imani zao na Makabila yao ndani ya kilichowahi kusemwa ni chama cha Kabila fulani na Imani fulani, ndivyo ambavyo na Usemi huu utazidi kukamilika. Hofu yangu ni kama mambo yataendelea hivi ya kulazimishana tusishangae Chama hiki kikatumika kama Kikundi kitakachopingana na Serikali hapo baadaye. Tunaposema hivi ni kwa vile tunaijali nchi na wao tunapenda wawe wawazi na wakajirekebisha.
 
TFF na FIFA, ni sawa na Chadema.

Teh teh teh teh

Hiyo ni mifano tu ndugu, akili mgando. By the way, unaionaje FIFA? Ni tasisi gani nchi hii, iwe ya umma au binafsi unayoweza kuilinganisha na Fifa? Fifa ni namba nyingine, inaweza kuwalisha nchi nzima kwa miaka 100 ijayo sembuse ninyi mmefunga shule kwa kushindwa kulisha vikinda vyenu japo kwa mwaka mmoja tu wa fedha.
 
Pengine nikusaidie tuu...unadhani sababu ni nini mtu anapozidi kujua na kuifuata dini yenu anazidi kuwa kituko na muaribifu wa kila jema ambalo Mungu kaibariki dunia?Badala ya kuwa baraka kwa dunia?

Mkuu naomba unipe "ndogo"
 
Unadhani quraan kama Lile jarida la ngono (bibukulia)
Kwa kili hii...wewe gaidi aliyeganda...anasubiri muda wa kuwa full.Ingekuwa Jarida la Ngono Yesu anagejisifu km yule jamaa aliyejiita ana nguvu za wanaume 30 ktk ngono.Ndio mfano wenu bora...ndio mfano wa waarabu leo kuongoza kununua viagra.Wazungu waliwashika sana.
 
Kwa kili hii...wewe gaidi aliyeganda...anasubiri muda wa kuwa full.Ingekuwa Jarida la Ngono Yesu anagejisifu km yule jamaa aliyejiita ana nguvu za wanaume 30 ktk ngono.Ndio mfano wenu bora...ndio mfano wa waarabu leo kuongoza kununua viagra.Wazungu waliwashika sana.

Biblia ni jarida la ngono ndio maana kutwa ma askofu wanafiranaa wenyewe kwa wenyewe. We mwenyewe hapo ulipo nyuma washakuharibu kitambo. Ukijamba tu unatoa maharisho misuli ya mnduku ushakuregea
 
Biblia ni jarida la ngono ndio maana kutwa ma askofu wanafiranaa wenyewe kwa wenyewe. We mwenyewe hapo ulipo nyuma washakuharibu kitambo. Ukijamba tu unatoa maharisho misuli ya mnduku ushakuregea
umesoma wapi au ndio ulichopandikizwa...?ndio maana mtakufa km kondoo wa kafara....ktk ugaidi.mnajilipua bila hata kujua.
 
Mungu hakuwahi kumficha mtu mnafiki hata siku moja..ni suala la muda tu....swali la kujiuliza je kwanini malalamiko hayo yatokee kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu..??.ikiwa Arfi aliwahi kushika nyadhifa kubwa ndani ya chama kwanini hakuyakemea hayo hapo awali...??....nitakuwa sijakosea kumuita huyu mzee kuwa ni mnafiki...
 
Huyu naye asinisumbue Mimi! Amfuate tu huyo hawara yake! Zee jinga sana hili lilikuwa wapi wakati katiba inapitishwa? Limekaa muda mwingi kwenye uongozi kwa nini halikulalamikia hicho kifungu?
 
Mpuuzi sana! Yeye alikuwa makamu M/kiti bara cdm, hakuliona hilo?! Ahamie act.
 
kauli ya kipumbavu kabisa toka kwa mzee wa watu..kweli hawa jamaa walikuwa mazigo sana.Eti katiba ya CDM ina mapungufu..nani kamwambia ilishushwa toka Mbinguni?Km aliomba kuna mapungufu alitegemea nani ayarekebishe..yaani mitanzania yote inaongea km fulani tuu ndie afanye na si mwingine...utakuja jitu kubwa linajifanya lisomi ila lipo busy kusema upinzani bado sana..halafu linataka mabadiliko yaletwe na wengine.
 
Back
Top Bottom