Said Arfi: Katiba ya CHADEMA ina mapungufu

Said Arfi: Katiba ya CHADEMA ina mapungufu

Arfi ni mfuasi wa Zito,na ni mwanachama wa ACT ambaye bado hajaondoka CHADEMA,ila hana madhara yoyote.Aachwe tuu huyu mzee achukue kiinua mgongo chake.Vyama vingi duniani vimeweka katazo la kwenda mahakamani ili kuweza kuwa huru kwenye maanuzi mbalimbali, kwa sababu ukiwa na wanachama wakorofi na wenye uchu wa madaraka kama akina Zito,chama kitakuwa kinashughulikia kesi mahakamani,badala ya kujieneza kwa wanachama wengi zaidi.

Red: Sentensi pekee ambayo hampendi kuitaja ni kuwa Zitto hakutaka madaraka kwa nguvu,alikuwa na sifa zote,katiba ilimruhusu na alifuata taratibu zote.Waliofukia demokrasia kwa kumnyamazisha bila utaratibu ndio watu safi? Only in Chadema.
 
mkuu, tusifanye jambo kwa sababu CCM wanafanya, tufanye kwa kuangalia uhalali wake.

swali la kujiuliza, wakati kipengele hicho kinapita Arfi ama ZZK walikuwa wapi?? je? siyo wakati ambao walikuwa moja ya viongozi wakuu CDM? kwanini hawakusema wakati ule? kwanini leo??
Mkuu ni kweli Zitto na Arfi walikuwa Viongozi,lakini ni kawaida kuwa na mabadiliko ya katiba katika sehemu mbalimbali kulingana na wakati husika na experince husika,ndio mana Zitto akasema Fine yeye ameondolewa kwa kipengele hiko ila wanaobaki ni jukumu lao kupambana hiko kipengele kinabana haki ya mtu,there are times unaundiwa tu Zengwe na viongozi wakubwa,haki yako ukaipate wapi?
 
mkuu nyego, weka kumbukumbu zako sawa.....mh arfi hakuwahi kufukuzwa ktk uongozi chadema, alijiuzulu mwenyewe kwa hiari yake!
tuache unafki wa kumuona mtu mbaya pindi tu tunapotofautiana naye mitazamo.
 
Said Arfi, Shibuda na Leticia Nyerere tunasubiri muda ufike tu tuwape mkono wa kwa heri.

huu utakuwa unafki uliotukuka....kwa nn isiwe sasa ikiwa hawatakiwi ndani ya chama, kama ilivyokuwa kwa zitto?!
 
Hakuna binadamu ambaye akisoma katiba yote hataona mapungufu kwa hiyo MTU anavyoamini ndivyo anavyoona mapungufu ya kitu kwa hiyo kawaida tu hata iko kipengele kikiondolewa bado wengine wataona ni pungufu pia tuangalia hilo pungufu linamadhara kiasi gani kwa wanachama wote au ni kikundi tu cha watu.kwa hiyo kama anaona katiba inamapungufu kwake aende ambapo imetimia na ndio maana ya demokrasia.
 
, Arfi amesema kuwa hana tatizo endapo atafukuzwa uanachama, na kwamba hawezi kusubiri kufukuzwa ndani ya chama hicho, isipokuwa "nitatafakari kabla ya kumalizika kwa mkutano wa Bunge na nitafanya maamuzi kama ninatosha kuendelea kuwa CHADEMA, maamuzi yangu nitayatangaza kabla Bunge halijakwisha"
mzee si uende tu huko ACT, yaani mpaka uzunguke mbuyu weeeee!!! uliingia CHADEMA kwa hiari na una uhuru wa kutoka kwa hiari. Sisi (UKAWA) tunasonga mbele kuwatetea watanzania wanyonge!! aluta continyua....
 
Hakuna katiba inayoweza kuitwa kamili popote duniani...labda iwe ni katiba ya mtu mmoja, wakishakuwa wawili au zaidi ni suala la maridhiano na siyo ukamilifu wa katiba.

Mbona vyama viko vingi?? Karibu CCK!
 
upo sahihi kabisa maana wewe pekee ndo utakayepiga kura kuchagua kila mbunge!

Aondoke kama hakubaliani au hawezi ku-comply na katiba. Ay.at.olla.h kishatangualia, Arfi anasubiri masurufu yake na yeye atimke. Ila akumbuke bunge la July ndiyo la mwisho kwake hata kama atamfuata Ay.at.olla.h
 
Arfi,shibuda,reticia walishapuuzwa na cdm,ni bora wakaondoka zao wamfuate swaiba wao zitto
hao wengine sawa, Mimi namsikitikia sana huyu Mzee, yaani kuingizwa mkenge na kijana mdogo!! duh!!
 
Kwani katiba ipi haina mapungufu?Quran yenyewe in amapungufu ndio katiba?
 
Kwani katiba ipi haina mapungufu?Quran yenyewe in amapungufu ndio katiba?
Quran haina mapungufu kwa sababu Quran sio maneno ya mtu ni maneno ya Mwenyeezi Mungu Katiba yoyote ile itakuwa ina mapungufu kwa sababu katiba inatungwa na watu. Huwezi kufananisha katiba ya Chadema na Quran ya Allah Mkuu Nicholas usipende kuropoka kama mtu uliyelewa jiheshimu utaheshimiwa usifananishe Katika ya chadema na Quran ya Allah kama huna maneno ya kusema bora unyamaze usipende kuzungumza maneno ya Pumba.
 


Chanzo: EATV
huyu arfi anajua kuwa katiba si msahafu ni binadamu kama yeye waliokaa chini wakaitengeneza katiba hiyo ,ni katiba hiyo hiyo aliisoma na kuielewa na kujiunga na chama hicho ,hivyo basi ajue inarekebishika na huko aliko pia kuna mapungufu pia kwa sababu hakuna binadamu asiye na mapungufu sembuse katiba ya chadema .
 
Kwani katiba ipi haina mapungufu?Quran yenyewe in amapungufu ndio katiba?
Dah udini huu utakumaliza yaani Arfi anashambuliwa hadi imefikia kuitaja Quran?... ama kweli MUISLAAM anayebakia Chadema ana akili finyu sana na bahati mbaya kwenu nasikia hata Kanisa la Ujarumani limekata misaada mtafanya nini mwaka huu Chadema. Mkuu wangu hapa umevuka mpaka yaani duh wala sintosema zaidi..
 
Quran haina mapungufu kwa sababu Quran sio maneno ya mtu ni maneno ya Mwenyeezi Mungu Katiba yoyote ile itakuwa ina mapungufu kwa sababu katiba inatungwa na watu. Huwezi kufananisha katiba ya Chadema na Quran ya Allah Mkuu Nicholas usipende kuropoka kama mtu uliyelewa jiheshimu utaheshimiwa usifananishe Katika ya chadema na Quran ya Allah kama huna maneno ya kusema bora unyamaze usipende kuzungumza maneno ya Pumba.
haha...haina mapungufu kwa sababu?Wewe mwehu kweli..mbona sababu cyclic?....Yenyewe inasema ilirekebishwa baada ya shetani kutelezesha ulimi wa bwana ntume....au huajwahi soma?au hujui maana yake?Au hujui inasema wazi kwamba muhamad alisema na vingine vilivyotoka kwa sheitwan?Na hivyo ndivyo vinavyowasumbua sana waislam kujua wapi kuna shida na upi ndio msatari wenye shida..Muuajai,msinzi,mbakaji na mtenda haki wote wana mistari na yoye ina haki sawa...
 
Viongozi wa Chadema walikimbilia kumfukuza Zitto kwa tamaa ya kutaka kurithi viatu vyake.

Umesha sema ni viongozi, wamemfukuza ili warithi viatu vya ZZK ambavyo nadhani ni nafasi ya uongozi. Fanya analysis kabla hujaandika
 
Back
Top Bottom