AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
CHADEMA ndiyo iliyomfanya wananchi wakamchagua.Maneno aliyoyasema yanaweza kusemwa na mtu aliyekengeuka tu.Wenye serekali wenyewe wanaiona serekali ya chama chao haiwafanyii wananchi kile inachotakiwa ifanyie ndiyo maana ya wanazunguka nchi nzima kuishambulia serekali yao iweje yeye aione serekali ya CCM ina masilahi kwa wananchi wake mpaka aseme wananchi kwanza CHADEMA badaye?.au ana sumbuliwa na ukengeufu?.
Huyu mzee jimno lake tu la Mpanda limemshinda sasa anaona uchaguzi umekaribia thenly anaanza kutapatapa kama chura maji aliyetupwa jangwani.