SAID ARFI: Jimbo kwanza CHADEMA baadae

SAID ARFI: Jimbo kwanza CHADEMA baadae

mpaka 2015 tutajua nani yuko na sisi na nani yuko na ccm...budget ya mwaka jana haijatekelezwa kwa zaifi ya 40%, deni la taifa linazidi kuongezeka halafu unatuletea upumbavu...
Mtajibeba. Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa na nyie mnaopora ruzuku ya chama na kwenda kununua majumba dubai. Chama kiko hoi bin taaban
 
mpaka 2015 tutajua nani yuko na sisi na nani yuko na ccm...budget ya mwaka jana haijatekelezwa kwa zaifi ya 40%, deni la taifa linazidi kuongezeka halafu unatuletea upumbavu...

ndiyo maana Arfi ameunga mkono ili kumalizia sehemu iliyobaki ya maendeleo jimboni mwake, big up sana kwa huyu mzee
 
mpaka 2015 tutajua nani yuko na sisi na nani yuko na ccm...budget ya mwaka jana haijatekelezwa kwa zaifi ya 40%, deni la taifa linazidi kuongezeka halafu unatuletea upumbavu...
Nyie simpo na wakaskazini wenzenu unataka nani tena awe na nyie.
 
SLAA alihama CCM akiwa na umri gani?

dr.slaa hajawahi kuwa mbunge kupitia ccm.
Ni sheria za Tanganyika na tanzania tu,kipindi kile ukiwa unataka kufanya kitu cha msingi,eti lzm uwe mwanachama wa ccm
 
Huyu Said Arfi, ni mtu makini aliyekataa kuwa msukule wa Dr.Slaa na Mbowe.

Kwenu Yuda ni mtu makini! Huyo ni mchumia tumbo tu ambaye baada ya awamu hii ubunge atauskia tu!
 
maneno kama haya ndiyo huwa yanawanyima kura CHADEMA, hata majukwaani huwa wananadi sera zao kwa matusi hivihivi.

Mkuu, kuugua kisukari sio tusi. Arfi mwenyewe anajijua ana kisukari wewe mwosha vyoo vyake utasemaje tusi?
 
Back
Top Bottom