SAID ARFI: Jimbo kwanza CHADEMA baadae

SAID ARFI: Jimbo kwanza CHADEMA baadae

kisukari kinasababisha kichaa? so you mean TUNDU LISSU is crazy?

Tunamzungumzia Arfi. Arfi anajijua, amechoka mwili, akili na roho. Arfi anajua kisukari kimeharibu ubongo wake. Arfi anajijua thamani yake hata kwa wapigakura wake ni ndogo. Na akili zake zimeruka. Anajijua. Sasa kama unataka tumjadili Lissu fungua thread ntakufata huko huko. Hapa tunamjadili Arfi, mgonjwa wa kisukari
 
Mtajibeba. Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa na nyie mnaopora ruzuku ya chama na kwenda kununua majumba dubai. Chama kiko hoi bin taaban
teh teh,mkuu kiujumla ukiwa mtumwa wa vyama ni shida, cdm bado wanapanga ofisi, pia posho hupewa zaidi wa makao makuu, the same as ccm mabilioni ya ruzuku hula kina nape, mabalozi wa nyumba kumikumi ni hali mbaya!
 
Tunamzungumzia Arfi. Arfi anajijua, amechoka mwili, akili na roho. Arfi anajua kisukari kimeharibu ubongo wake. Arfi anajijua thamani yake hata kwa wapigakura wake ni ndogo. Na akili zake zimeruka. Anajijua. Sasa kama unataka tumjadili Lissu fungua thread ntakufata huko huko. Hapa tunamjadili Arfi, mgonjwa wa kisukari

hongera wewe ulie mzima..utaishi milele kama jiwe kamanda
 
ni kweli kwa umri wake kutangatanga na vyama ni kujidhalilisha kisiasa. Ni sawa na mzee wa miaka 60 kuanza kutangatanga mabarabarani kupigana vikumbo na vijana wa miaka 25.

dr slaa mbona anatangatanga na umri wote ule bado na wachumba ?

Dr. Kiboko yenu kila issue lazima muipindishie kwake, na bado pamoja na miaka yake lakini damu yake inachemka kuliko yako ktk kukupigania wewe usiyejitambua anakupigania!
 
arfi ni shujaa
Hivi kuikubali bajeti isiyotekelezeka ndio ushujaa? Basi kazi kweli. Hivi hujui kuwa kama bajeti ile ingepigiwa kura za siri isingepita maana wale wabunge wa CCM wanye akili zao wangeika taa kwa siri!
 
ni kipi kisichotekelezeka? Funguka mkuu
 
Back
Top Bottom