maneno kama haya ndiyo huwa yanawanyima kura CHADEMA, hata majukwaani huwa wananadi sera zao kwa matusi hivihivi.
unayajua matusi wewe? Huyo mchumia tumbo aache amalizie kipindi chake tu!
maneno kama haya ndiyo huwa yanawanyima kura CHADEMA, hata majukwaani huwa wananadi sera zao kwa matusi hivihivi.
Kwani Mtei ni Mbunge wa mana yako?Amedhoofika kuliko mtei?
Mkuu, kuugua kisukari sio tusi. Arfi mwenyewe anajijua ana kisukari wewe mwosha vyoo vyake utasemaje tusi?
makam mwenyekiti mstaafu CHADEMA amesema wananchi wake kwanza chadema baadae. hawezi kupinga mambo ambsyo yana maslahi na wananchi eti kwakuwa yameletwa na ccm.
source. nipashe ya leo.
Mkuu ritz, naheshimu sana michango yako hapa jukwaani, nakuomba usichukue lugha za misukule ya mbowe..wajibu kwa hoja waachie matusi yaoUgonjwa hauombwi usiwe -----'e hata wewe unaweza kuungua sukari au wewe una mkataba na Mungu hauwezi kupata maradhi.
humu kiswahili tu jamani lugha zenu za viroba huko huko.Kwani Mtei ni Mbunge wa mana yako?
Mbona Dr.Slaa nae anaumwa sukari, unawatukana wagonjwa wa sukari sasa baada ya kuishiwa hoja, kumbe wewe mtoto mdogo nilikuwa sifahamu.Unamshikaje akili mgonjwa wa kisukari? Yule hata mkewe watu wanamgongea. Sasa huoni ana frustration tupu?
unayajua matusi wewe? Huyo mchumia tumbo aache amalizie kipindi chake tu!
Ukiwa chadema lazima uwe na akili ya mzogaYaleyale ya Lowasa kuwa mstaafu,Ukiwa ccm lazima uwe na akili ya maiti tu!
Mkuu ritz, naheshimu sana michango yako hapa jukwaani, nakuomba usichukue lugha za misukule ya mbowe..wajibu kwa hoja waachie matusi yao
Na kama Chadema wasingempa opportunity ya kuwa mbunge Sukari ingesha mmaliza akafanyie unafiki na usaliti wake kwa Allah
Mbona Dr.Slaa nae anaumwa sukari, unawatukana wagonjwa wa sukari sasa baada ya kuishiwa hoja, kumbe wewe mtoto mdogo nilikuwa sifahamu.
mti wenye matunda ndo unapopoewa kwa mawe, kisukari kimeanza baada ya kuwa kinyume na udikteta wa MBowe?
Makamu mstaafu au aliyejiiuzulu? Leo ndio kajua wananchi kwanza? Jana katibu wake Mona Joseph alikuwa mlele akigawa kadi za ACT .....
Asante sana, umefunguka vyema..kumbe tatizo la said arf ndani ya chadema ni DINI YAKE.Na kama Chadema wasingempa opportunity ya kuwa mbunge Sukari ingesha mmaliza akafanyie unafiki na usaliti wake kwa Allah
Kweli kbs hapo ndio nimeona kasema ukweli kdg.
Arfi ni mti wenye matunda? Labda kama mavi yamegeuka matunda siku hizi
SLAA alihama CCM akiwa na umri gani?