SAID ARFI: Jimbo kwanza CHADEMA baadae

SAID ARFI: Jimbo kwanza CHADEMA baadae

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
makam mwenyekiti mstaafu CHADEMA amesema wananchi wake kwanza chadema baadae. hawezi kupinga mambo ambsyo yana maslahi na wananchi eti kwakuwa yameletwa na ccm.
source. nipashe ya leo.
 
Makamu mstaafu au aliyejiiuzulu? Leo ndio kajua wananchi kwanza? Jana katibu wake Mona Joseph alikuwa mlele akigawa kadi za ACT .....
 
Said arfu yupo njia panda
aendelee kuwa chadema au akubali kurubuniwa na kina zzk,pmj na umri wote ule
 
makam mwenyekiti mstaafu CHADEMA amesema wananchi wake kwanza chadema baadae. hawezi kupinga mambo ambsyo yana maslahi na wananchi eti kwakuwa yameletwa na ccm.
source. nipashe ya leo.
Tumekusoma mwanachama mlezi wa ACT.
 
Said arfu yupo njia panda
aendelee kuwa chadema au akubali kurubuniwa na kina zzk,pmj na umri wote ule
ni kweli kwa umri wake kutangatanga na vyama ni kujidhalilisha kisiasa. Ni sawa na mzee wa miaka 60 kuanza kutangatanga mabarabarani kupigana vikumbo na vijana wa miaka 25.
 
Nyerere aliingia kwenye siasa ili kuwakomboa Watanganyika na Waafrika kwa ujumla ndio maana alifocus kwenye ajenda hizo za msingi....lakini hawa wanasiasa wanaoingia kwenye siasa kama ajira haya ndio madhara yake......
 
makam mwenyekiti mstaafu CHADEMA amesema wananchi wake kwanza chadema baadae. hawezi kupinga mambo ambsyo yana maslahi na wananchi eti kwakuwa yameletwa na ccm.
source. nipashe ya leo.

nimeipenda sana hiyo, hongera Mzee Arfi kwa kuwajali wananchi wako.
 
mpaka 2015 tutajua nani yuko na sisi na nani yuko na ccm...budget ya mwaka jana haijatekelezwa kwa zaifi ya 40%, deni la taifa linazidi kuongezeka halafu unatuletea upumbavu...
 
makam mwenyekiti mstaafu CHADEMA amesema wananchi wake kwanza chadema baadae. hawezi kupinga mambo ambsyo yana maslahi na wananchi eti kwakuwa yameletwa na ccm.
source. nipashe ya leo.
Nimeanza kugundua kuwa Wapinzani wanajua kazi inayofanywa na CCM lakini kwa sababu ni sera yao kupinga kila kitu basi wanalazimika kufanya hivyo.
 
ni kweli kwa umri wake kutangatanga na vyama ni kujidhalilisha kisiasa. Ni sawa na mzee wa miaka 60 kuanza kutangatanga mabarabarani kupigana vikumbo na vijana wa miaka 25.

SLAA alihama CCM akiwa na umri gani?
 
makam mwenyekiti mstaafu CHADEMA amesema wananchi wake kwanza chadema baadae. hawezi kupinga mambo ambsyo yana maslahi na wananchi eti kwakuwa yameletwa na ccm.
source. nipashe ya leo.

Kwi kwi kwi! Huyu mzee kisukari kimeua uwezo wake wa ufahamu
 
Back
Top Bottom