mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
mnaendeshwa na mawazo ya watu wangapi
tunajiendesha wenyewe ni tofauti na ninyi wahaya mnajisifia mmesoma kumbe ni ziro brain unatumika na mswahili zito kabwe ACT
mnaendeshwa na mawazo ya watu wangapi
Kwanini usimuige basi,mbona wewe unaendelea kuwa msukule wa mwigulu nchemba?Huyu Said Arfi, ni mtu makini aliyekataa kuwa msukule wa Dr.Slaa na Mbowe.
Kwaiyo kama ni kichaa asiitwe kichaa kwa sababu ya umri? Sukari imemtafuna ubongo wake, tusiseme?
Makamu mstaafu au aliyejiiuzulu? Leo ndio kajua wananchi kwanza? Jana katibu wake Mona Joseph alikuwa mlele akigawa kadi za ACT .....
mizengo pinda anampenda sana huyu mswahili arfi angekuwa lema kalazwa angeenda kweli kumjulia hali
Aling'atuka mfano Nyerere nchi ilipomshinda akasema "anang'atuka".
teh teh, afadhali hata Nyerere nchi ilipomshinda alikubali kung'atuka, kuliko Kikwete nchi imemshinda lakini anang'ang'ania tu...!Aling'atuka mfano Nyerere nchi ilipomshinda akasema "anang'atuka".
Hivi mtu kuunguwa nayo ni kosa kwa Chadema hawa makamanda wa Chadema wanachekesha sana.
Ushauri huu pia unamfaa Dk Slaa, kwa umri wake nayeye alitakiwa abakie ccm.ni kweli kwa umri wake kutangatanga na vyama ni kujidhalilisha kisiasa. Ni sawa na mzee wa miaka 60 kuanza kutangatanga mabarabarani kupigana vikumbo na vijana wa miaka 25.
Akihongwa na ccm hajawa msukule?bado miezi tu akapumzike mpanda.Said arf amegoma kabisa kuwa msukule
Huyu Said Arfi, ni mtu makini aliyekataa kuwa msukule wa Dr.Slaa na Mbowe.
Saccos imefilisika hii
Pinda ana mahaba na ARFI, Zitto na Kitila Mkumbo
Haijawai tokee msaliti akawa makini!!! Hata hivyo haitajiki chadema mtu ambaye hata std seven hajamaliza anafaa tu ACT!!!
Pinda ana mahaba na ARFI, Zitto na Kitila Mkumbo