SAID ARFI: Jimbo kwanza CHADEMA baadae

SAID ARFI: Jimbo kwanza CHADEMA baadae

maneno kama haya ndiyo huwa yanawanyima kura CHADEMA, hata majukwaani huwa wananadi sera zao kwa matusi hivihivi.

Mkuu usiwashtue sasa..! Ili wakija kushtuka hiwe too late to catch the train na uchaguzi ushapita..
Let the sleeping dogs lie.
 
dr.slaa hajawahi kuwa mbunge kupitia ccm.
Ni sheria za Tanganyika na tanzania tu,kipindi kile ukiwa unataka kufanya kitu cha msingi,eti lzm uwe mwanachama wa ccm

Acha kupotosha watu wewe... Sema tu bado alikuwa padri. After all kipindi kile Tanzania ilikuwa ni monoparty state and ccm the only party, sasa wewe ulitaka agombee kwa chama gani kingine?
 
Huyu Said Arfi, ni mtu makini aliyekataa kuwa msukule wa Dr.Slaa na Mbowe.

Prince, umeisoma lakini hi comment? "Makamu mstaafu au aliyejiiuzulu? Leo ndio kajua wananchi kwanza? Jana katibu wake Mona Joseph alikuwa mlele akigawa kadi za ACT ..... " au uliparuka makusudi!
 
Dr. Kiboko yenu kila issue lazima muipindishie kwake, na bado pamoja na miaka yake lakini damu yake inachemka kuliko yako ktk kukupigania wewe usiyejitambua anakupigania!

BASI MSIMSAKAME MZEE WA WATU KWA MADAI NI MZEE HATAKIWI KUANGAIKA,KAMA DR ANAANGAIKA KWA KUCHEPUKA NJIA KUU NA KUENDEKEZA CHOCHORO BASI MWACHIENI MAKAMU MWENYEKITI ALIJITAMBUA NA KUKIMBIA SAccos
 
hongera wewe ulie mzima..utaishi milele kama jiwe kamanda

Said Arfi akiwa hoi kitandani

2.JPG
 
makam mwenyekiti mstaafu CHADEMA amesema wananchi wake kwanza chadema baadae. hawezi kupinga mambo ambsyo yana maslahi na wananchi eti kwakuwa yameletwa na ccm.
source. nipashe ya leo.

Mpuuzi tu huyo. Ubunge atausikia kwenye mitaani, CDM hatakuwepo na hao CCM anaotaka kuwafurahisha hawatampa nafasi ya kugombea!
 
yupo sahihi ndicho wanachotakiwa kufanya wabunge wote watu kwanza chama baadaye.
 
Mpuuzi tu huyo. Ubunge atausikia kwenye mitaani, CDM hatakuwepo na hao CCM anaotaka kuwafurahisha hawatampa nafasi ya kugombea!

-------- wewe kwani ubunge unapatikana chadema pekee kwanza yeye kachaguliwa na watu wala siyo chadema chadema wakome kabisa kuburuza watu.
 
-------- wewe kwani ubunge unapatikana chadema pekee kwanza yeye kachaguliwa na watu wala siyo chadema chadema wakome kabisa kuburuza watu.

Ok let us wait and see, nitauweka huu uzi kwenye e-mail yangu 2015 nikukumbushe! Sijui labda mgombea binafsi, lakini kupitia chama sahau!
 
Prince, umeisoma lakini hi comment? "Makamu mstaafu au aliyejiiuzulu? Leo ndio kajua wananchi kwanza? Jana katibu wake Mona Joseph alikuwa mlele akigawa kadi za ACT ..... " au uliparuka makusudi!

kila mtu na matakwa yake huwezi kumfunga akae chadema daima.
 
Back
Top Bottom