Sahihi kwa mwanaume aliyekamilika kusherekea birthday?

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,776
24,211
Kuna wimbi kubwa hata huku mikoani linaongezeka la wanaume kufanya birthday party, kusherekea kuzaliwa kwao hata humu JF lipo, jambo ambalo linanisikitisha sana.

Japo hatuingiliani kwenye maisha ila Kuna mambo kama sisi wanaume kamili lazima tuyakemee, haya mambo ya viparty visivyokuwa na misingi wanaume tuwaachie dada zetu coz linafanya wanaume tuzidi kuwa soft soft

2024 tubadilike tuna mengi ya kuyafanya.

1704451279227.jpg
 
Kha! Usipende kujibana kiasi hicho kuumbwa mwanaume aikufanyi ushindwe kufurahia yalio mazuri.
Birthday ni kitu muhimu kukumbuka kwani ata unapo sherekea Mbinguni napo inasherekewa.
Hapa duniani hatuishi milele hivyo enjoy kadri uwezavyo.
 
Kuna wimbi kubwa hata huku mikoani linaongezeka la wanaume kufanya birthday party.... kusherekea kuzaliwa kwao hata humu jf lipo...jambo ambalo linanisikitisha sana
Japo hatuingiliani kwenye maisha ...ila Kuna mambo kama sisi wanaume kamili lazima tuyakemee..haya mambo ya viparty visivyokuwa na misingi wanaume tuwaachie dada zetu coz linafanya wanaume tuzidi kuwa soft soft

2024 tubadilike ....tuna mengi ya kuyafanya

View attachment 2862495
Labda kwa wenye tatizo la Ushoga tu.
 
Wengi wao ni chapati maji wanaiga wengine
 
Kuna wimbi kubwa hata huku mikoani linaongezeka la wanaume kufanya birthday party, kusherekea kuzaliwa kwao hata humu JF lipo, jambo ambalo linanisikitisha sana.

Japo hatuingiliani kwenye maisha ila Kuna mambo kama sisi wanaume kamili lazima tuyakemee, haya mambo ya viparty visivyokuwa na misingi wanaume tuwaachie dada zetu coz linafanya wanaume tuzidi kuwa soft soft

2024 tubadilike tuna mengi ya kuyafanya.

View attachment 2862495
big NO!!!!
 
Back
Top Bottom