OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Sasa mkuu watu hawana hata vyoo wanakunya kwenye mifuko wanatupa ziwani, unategemea Nini apo 😂😂😂😂Kwanza kuna Washamba Sana,mandhari mbaya na Wala Mji hauvutii kwa hiyo hakuna kama Arusha mkuu..
Kwanza kule wanakufa Sana kwa Saratani