Saga la Makonda: My Take


Kimantik ni kweli ila kuna hili la kuvamia kituo kufanya sherehe kipindi hiki kweli hawezi kumfukuza kazi kwa pressure ila Makonda asijisahau maana watu wanamuangalia kwa jicho la tatu nadhani yeye mwenyewe angejiuzuru
 
atumbue asitumbue tayari tushaijua rangi yao,time will tell kama wengi wanavyosema
Ukabila tu nepotism ya kiwango cha lami. Tundu lissu anakamatwa kila siku. Kusafirishwa usiku usiku na kulazwa rumande kwa kosa tu la kusema ukweli. Libashite limepora Mali, limevamia na silaha limefoji vyeti, Eti chapa kazi. This time mtafanya kaxi nyie wawili tu. Tuonane 2020
 
~~~>>>Makonda alipata ukuu wa Mkoa kwa lengo la kuwakomesha waliokuwa wanampinga akiwa DC.....

~~>>Hivyo mkuu anajua kuwa alichukua kinyesi Sebuleni akakihamishia chumbani...


Iwe leo, kesho ama kesho kutwa tunachotaka ni huyu Jamaa ang'oke tu.....
 
~~~>>>Makonda alipata ukuu wa Mkoa kwa lengo la kuwakomesha waliokuwa wanampinga akiwa DC.....

~~>>Hivyo mkuu anajua kuwa alichukua kinyesi Sebuleni akakihamishia chumbani...


Iwe leo, kesho ama kesho kutwa tunachotaka ni huyu Jamaa ang'oke tu.....
 
Haya endeleeni kupalilia ujinga huu, siku ukiingiliwa ndani ya nyumbayakondiyo utajua haya si mambo ya wapinzani.

 
Kwa sisi wananchi naomba kila mmoja wetu popote atakapohutubia huyu bashite ni kumzomea tu ni mwendo wa kumzomea hadii aachie ngazi.
 
Mmh....ulevi wa madaraka tu!
 
Hivi prince alipoenda kuvamia clouds si alienda kushinikiza clouds wasambaze udaku? Mbona anamwambia asisikilize udaku wakati mwanae anaupenda udaku tena anautengeneza? Hiviii si rais wetu majuzi alisema hadharani anapenda ubuyu Wa team shilawadu? Kauchukia lini tena? Halafu hivi uhakiki Wa vyeti nani alianzisha?
 
kiongozi mzuri ni yule anayekosoa na kukubali kukosolewa.
 
Kadi za kupigia kura zina thamani ndogo zaidi kuliko za kliniki.
Na wenye kuzimiliki ni wapuuzi tu..
 
kiongozi mzuri ni yule anayekosoa na kukubali kukosolewa.
Huyo kiongozi unataka kupiga nae picha?
Kiongozi mjuvi ni yule anaejua kuwa nafasi aliyonayo sii ya kudumu.
 
Si wapinzani wanaopiga kelele ni watanzania huyu dogo kaadhiri familia nyingi kwa kekeli na kulewa madaraka
 
....exactly...rais tuliyenaye ni controversial haijawahitokea TZ....sasa ngojea yatakapoanza kumrudi....maana amekua sikio la kufa....watu watamchoka soon....maana hatembelei anayosema.....na anatengeneza precedent za ajabu....
 
Kumbee ndio maana Bajeti haitekelezwi. Maskini Bunge linampangia Asiepangiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…