Safu ya Uongozi (CHADEMA) vyuo vikuu ni hii

Safu ya Uongozi (CHADEMA) vyuo vikuu ni hii

Status
Not open for further replies.
mbona wote wachaga kama kimario,kimaro,massawe,mushi,temba na wengine au ndo tuamini CHADEMA ni chama cha wachaga,inamaana hakuna wengine

Nandania probability ya kuwapa wachaga ktk sector nyingi imeongezeka.Wengine hata kichaga wanaweza kuwa hawajui.
 
Kwani kila anayetoa hoja pingamizi na CHADEMA anakuwa ni CCM. Mbona tunakuwa wavivu wa kufikiri kiasi hiki?. it's a fallacy argument and sophism
Mkuu magamba ya CCM tunayajua sana, mara zote yanakuja humu na propaganda chafu za kuwagawa watanzania kwa misingi ya kidini na kikabila, wakija na hoja tutawajibu lakini sio kuja hapa kutapika ugoro.

Infact huwa yanalipwa posho pale Lumumba kwa kila thread yanayoandika humu.
 
Pia ikuvutie na JK, Mama Salma, Membe, Ridhiwani, wote kuwa NEC na Mtoto wao kuwa mwenyekiti wa scauti ya watoto wa ccm, hupooo hapo, pia ikuvutie na Nnape Nauye kuwa alikuwa kiongozi wa kada mkubwa wa ccm Moses Nnauye, Pia John Mongela mkuu wa wilaya ya kigoma mjini mtoto wa JEtrude Mongela ( aliyewahi kuwa raisi wa bunge la africa na mbunge wa ukerewe, na pia ikuvutie January Makamba Waziri (naibu) wa Sayansi na technolojia , Dada yake mwamwita anaanza maandalizi ya ubunge umoja wa vijana tanga, baba yao katibu mkuu mstaafu wa ccm na mkuu wa mkoa na mbunge wa kuteuliwa,pia akuvutie Mbunge wa Namtumbo Vita kawawa, Zaria kawawa wa bot NA BABA YAO alikuwa waziri mkuu,pia akuvutie Waiziri mkee wa Lawrence Gama (marehemu) mumewe alikuwa katibu mkuu ccm, pia akuvutie Dr Hussein Mwinyi, Abdallah Mwinyi na baba yao alikuwa Raisi wa Tanzania............orodha ni ndefu sana, hapa unasemaje:majani7::majani7:
 
Weka kwa vyuo vyote zaidi ya 60 vinavyotoa first degree
 
Uamini nini tena wakati hao ndio wamepitishwa na Makao Makuu ya Chadema.

Mkuu siamini kwa kuwa ubini wa majina unaelekea upande mmoja. Sijamuona Mwita, Mbonde, Uzegeni, Mahenge, Kilomoni, Masanja ama Rugemalira!
 
Mkuu magamba ya CCM tunayajua sana, mara zote yanakuja humu na propaganda chafu za kuwagawa watanzania kwa misingi ya kidini na kikabila, wakija na hoja tutawajibu lakini sio kuja hapa kutapika ugoro.

Infact huwa yanalipwa posho pale Lumumba kwa kila thread yanayoandika humu.

Nadhani kuna jambo limefichika hapa. Magamba wanataka wawafahamu viongozi wa Chadema huko vyuoni! Kwa nini? Wanataka wawajue waanze kuwagasi gasi! Njia nyepesi ni kutumia majina kama haya ya kichagga ili wanaJF wakurupuke waanze kuwataja viongozi hao. Msikubali kuwataja, haina maana yeyote. ACHA IMEKULA KWAO, Kwani unayesoma hii mada unapenda au unajisikia kuwasikiliza Chadema kwa kuwa ni chama cha kikabila. Kama sio hivyo ni kitu gani kitakufanya leo uachane nao, kwa kuwa tu mjinga mmoja ameandika upuuzi kama huu!?
 
kwa mtu muelewa tanzania ya leo haiko hivyo , basi chadema ingejikita upande mmoja tu kaskazini haiwezi kusaidia chama na ndiyo maana inatafutwa kura/ wanachama tanzania nzima, hata ingekuwa wachaga wote tuwape uongozi wa juu kusingekuwa na madhara yeyote kwani sera za chama zipo, na kila mkoa una wakilishwa ipasavyo mimi nafikiri mtoa mada ajiulize kwa nini yeye ni mtanzania atapata jibu, !!!!!!!! pambaaaf
 
Shida ya pro-CDM ni moja, hivi kwanini huwa hamkubaliani na ukweli. Hiyo ni orodha ya kweli na imeanza kuzua gumzo vyuoni ile mbaya. Jifunzeni kuuchukua ukweli na kuwashauri viongozi wa juu ili kuimarisha chama. Kutokwa povu na matusi kwa hoja za msingi mnaua chama. Mjue kuwa ukabila haukubaliki hivyo kushuhudia orodha ya watu walewale kutoka kulekule na lugha ileile majina yaleyale, halafu mtuzuge eti CDM ni chama cha watanzania wote! haiwezekaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!.
 
Inabidi uwe na akili ya kichaa kuamini "message" kama hii. Vyuo vyote unavyovitaja karibu vyote vinatoa shahada za miaka mitatu. Hata kama tukia "assume" wote waliochaguliwa ni first years (ambao hawana hata miezi viwili) toka ambacho si rahisi kwa akili ya haraka kuwe coincidence kwa vyuo vyote namna hiyo.

Lkn hata km wote wangekuwa mwaka wa kwanza, huwezi kuwachagua kuongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo wakati wao watamaliza ndani ya miaka mitatu. Hivyo jipange upya mtoa mada
 
Kwa hiyo baada ya kuyakuta facebook kwa vilaza kama wewe ukaona uwaletee wanaume??
Sina hakika kama wewe ni mwanaume, make mwanaume wa kweli hawezi let's mambo ya like humu kwa great thinker

nipe huko mahali ndio utajua mi mwanaume au we mwanamke
 
sheh ponda anaendeleaje? na wewe umechaguliwa kwenye safu ya mad-fasta

ivi ayo maswala yanakujaje mnapenda kweli mambo ya udini na kukashifu watu wengine cjui kwanini acheni izo nyinyi.
 
Man 4 M4C

Mkuu marekebisho kidogo,kwa sasa John Mongella ni mkuu wa wilaya ya Arusha,sasa hivi yupo Ramadhani Maneno alieshindwa mchakato wa awali hapo Chalinze.
 
Last edited by a moderator:
ha!ha! magamba mnawasha halafu hamna wa kuwakuna,mi ni kiongozi CDM tawi la SAUT MWANZA,me mtu wa kigoma .mwenyekiti msukuma,mwenezi Muhaya,mwenyekiti BAVICHA na naibu wake WASUKUMA,Mwenyekiti BAWACHA mtu wa mbeya makamu Songea,naibu katibu MORO, na matawi yote hakuna ukabila,jipange.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom