Safu ya Uongozi (CHADEMA) vyuo vikuu ni hii

Safu ya Uongozi (CHADEMA) vyuo vikuu ni hii

Status
Not open for further replies.
Mbona hyo safu ya kufoji... Mwambie aweke mwenyekiti, katibu, makamu mwenyekiti halafu ndio tudiscuss. Sio kuleta ushuuzi wake hapa jamvini. ww huwezi taja kiongozi mmoja kati ya wa5 kisha ulete JF the HGT...!
 
Kama ni kweli hii haileti taswira nzuri...Jitihada zifanyike kwa makabila mengine za kuwaelimisha umuhimu wa kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama...ili wenye kijicho na cdm wasipate pa kupigia kelele kama hivi

Umesema kweli. Hata mimi nimeshtuka. Lakini tukumbuke pia kuwa wenzetu wa Kaskazini wameamuka.
 
arifu niwekee yutyubu aisee nione.....

Ulisikia ile nyumba pale kijitonyama imebomolewa?

ngoja muda si mrefu ntakupa link; za hizi natumia simu ya mchina; kwani wewew timu gani?
 
Kimsingi sina comments kwa sasa though lisemwalo lipo km halipo bas lipo arround. Ngoja ni comfirm hili kwanza mwenyewe then nitakuja upya coz dis face a strong critics 4 cdm future if proven
 
naona uwezo wa kutoa michanganuo ni mdogo sana kwa baadhi ya watu,kama mtu unadiriki hata kudanganya hakika mungu atakuona,labda nikusaidie na majina ya viongozi wengine ambao huwafahamu..mwenyekiti wa CHADEMA SAUT TABORA NI ELIFURAHA JOHN na si mchaga na hapa wasema nini? tafuta hoja nyingine huje nayo hiyo imepanguliwa
 
Umesema kweli. Hata mimi nimeshtuka. Lakini tukumbuke pia kuwa wenzetu wa Kaskazini wameamuka.

Mbona hyo safu ya kufoji... Mwambie aweke mwenyekiti, katibu, makamu mwenyekiti halafu ndio tudiscuss. Sio kuleta ushuuzi wake hapa jamvini. ww huwezi taja kiongozi mmoja kati ya wa5 kisha ulete JF the HGT...!
 
Pombe za value ukichanganya na kiroba kwenye Chupa ya banana wine inakuwa ni tabu sana
 
Labda utupe ushahidi kuwa wote waliwekwa kwa kuteuliwa na hawakuchaguliwa miongoni mwa wanachama wa chama hicho kwenye vyuo husika. Lakini mkuu, tukubaliane kwanza hapa:
1. Rais wa J/Muungano-JK-Muislamu
2. Makamu, Bilali- Muislamu
3. Rais wa Zanz, Shen-Muislam
4. Makamu wa 1 Zanz, Seif-Muislam
5. Makamu wa 2 Zanz, Baloz- Muislam
6. Jaji mkuu Tz, Muislam
7. Jaj Mkuu Zanz, Muislam

Kwamba kwa list hii inayofanana na yako hapo juu, basi nchi hii inaendeshwa KIDINI. nAMSHUKURU ALIYEANZISHA MADA JUST FOR NARROW THINKING.
 
mkuu mi nimeikuta facebook nia yangu ni kuwahabarisha wenzangu sijapewa na mtu.acha kukurupuka

Umekurupuka wewe ambae umepost kitu kikubwa bila kuwa na uhakika nacho... Hizo ni tabia za kitoto ambazo mnazo Facebook, kumbuka hii ni Jamii Forums kwa ajili ya watu wenye ubongo wa kuchanganua mambo na sio kuleta umbea wa Facebook ili tuanze kujadili.
 
Yani wewe ni kilaza hujui hata kujipanga,kwa mtu makini usikae uccoment issue ya dini wala ukabila utatupeleka mahali si salama dhaifu wewe.but sishangai hata juzi mdau wenu aliwatuma mwongee na mtangaze uchafu wenu hata kama hamjafanya kitu za kuambiwa changanya na zake uone mziki wake. Kupambana na cdm ni sawa na kukana utanzania wako. Jipange vizuri acha kukurupuka wenzio wajanja washasoma ramani,wamekaa kimia.mulize richmunduli, hata mjisafishe na maji ya baraka hamsafishiki....ushauri sisi wengi humu tunajua pa kuanzia manake hatulei ujinga ,majungu,na fitina.mfano.watoto wa maskin hawasomi,,kina mama vijijini wanakufa wanajifungua hakuna dawa..since 1961 magamba haijawai kupandisha hata centya shilingi ya tanzania ikawa na thamani,unaongea nini??nenda tanga angalia viwanda utalia,,njo dar angalia ufi,urafiki,rel, mwatex,sunguratax ,???viko wapi viwanda vya korosho lindi ,mtwara,na magodown ya serekali yanatumika kulaza magari ya warabu kama yadii..huna data unaongea nini????? Kaa kimia wanaume tumeamua..vijana mwanzo mwisho mpera -mpera..utaisoma undercover snake dr





nyie mna hela sisi tuna mungu asie shindwa
 
Huyu jamaa apigwe ban kwasababu ya kudanganya umma wa jamiiforums.Ni chuo gani wanasoma degree moja miaka mitano kiasi cha CHADEMA kuwaweka viongozi aliowasema mleta mada? Kwa kuwa naamini mleta hoja amewakwaza watu ambao pengine wangepigwa ban endapo wangemjibu kwa lugha mbaya basi,apumzishwe ili siku nyingine asiwatie watu majaribuni.
 
Huyu jamaa apigwe ban kwasababu ya kudanganya umma wa jamiiforums.Ni chuo gani wanasoma degree moja miaka mitano kiasi cha CHADEMA kuwaweka viongozi aliowasema mleta mada? Kwa kuwa naamini mleta hoja amewakwaza watu ambao pengine wangepigwa ban endapo wangemjibu kwa lugha mbaya basi,apumzishwe ili siku nyingine asiwatie watu majaribuni.
miaka mitano si kwakuwa watakuwa wanasimamishwa mara kwa mara kutokana nakuendesha migomo vyuoni! au unadhani wanaweza wakamaliza bila mgomo?
 
Mleta hoja atuambie kwanza hawa viongozi huwa wanapatikanaje?Akisha jibu sasa tunaweza kuchangia hoja.
manake kama wanapigiwa kura ina maana wameonekana wanafaa kuwaongoza wenzao.Labda kama huwa wanateuliwa.
 
TandaleOne
...hizo ndo hoja mwenyekiti wenu aliwambia mje kujibu?...usiwe na akili kama za samaki,nenda kachukue posho yako Lumumba na ujipange upya...
 
Last edited by a moderator:
Kimsingi hoja hii ni ya kweli na ya uhakika..,kwa kawaida yangu huwa sipandishi chochote katika platform ambayo najua inawatu wa aina gani na hata mods wa aina gani bila kuwa na uhakika wa habari hiyo.

Vyovyote vile ambavyo tutalijadili hili ni vizuri watu wakajadili wakiwa wanatoa tathmin juu ya mustakabali wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo lakini pia wanatathmini juu ya Uhai wa Taifa na Dhana nzima ya Utaifa na uzalendo kwa kizazi cha sasa. Ili mjadala huu uwe constructive ni vema watu wakafree their mind na kujadili wakiwa na balanced mentality kuhusu hili.

Kwa ukubwa wake na unyeti wa jambo hili na kwa hali ya sasa ya serikali na Taifa letu.,mambo haya ni ya kuyajadili kwa umakini mkubwa. HILI SI DOGO LA KUDHARAULIWA...!
 
Mleta hoja atuambie kwanza hawa viongozi huwa wanapatikanaje?Akisha jibu sasa tunaweza kuchangia hoja.
manake kama wanapigiwa kura ina maana wameonekana wanafaa kuwaongoza wenzao.Labda kama huwa wanateuliwa.

katika hoja ya kwanza nilibainisha wazi kuwa jambo hili katika CHADEMA lina historia ndefu na pana.,ambayo watu wanatakiwa waifahamu kwa undani ili wapate ufahamu wa kutosha juu kujijengea msimamo na uelewa wa sawasawa katika hoja hii.

Tangu wakati wa kuasisiwa Chama hiki, kilitengenezwa katika namna ya kuwafanya watu wa kabila fulani wajihisi ni wamiliki wa Chama hiki na kujipa haki zote za utawala na uongozi wa chama.,hii ikapelekea kuwa hata wanachama wake ukiacha mbali viongozi wake kuwa wa mlengwa fulani. Jambo hili ni pana.,naendelea kusisitiza kuwa ni PANA tena sana...!
 
Hivi karibuni wamepanga safu za viongozi wao ambao watakisimamia chama hiko kwa kipindi cha miaka 5 ijayo. na safu ya Viongozi hao ni kama ifuatavyo;

(i) University of Dodoma maarufu kama UDOM ni ELISANTE MUSHI.,
(ii) Chuo Kishiriki cha MWENGE ni JAMES KIMARO.
(iii) Sokoine University of Agriculture (SUA) ni JOHN KIMARIO.
(iv) Chuo Kishiriki cha DUCE ni ELIBARIKI MUSHI.
(v) Chuo Kikuu cha MZUMBE ni FRANCIS TAIRO.
(vi) Chuo cha Teknolojia Dar es salaam (DIT) ni ABSOLOM TEMBA.
(vii) Chuo kikuu Cha Mtakatifu Joseph (ST JOSEPH) ni JAMES URIO.
(viii) Chuo Kikuu kishiriki cha JURDAN UNIVERSITY ni ESTER MASAWE.
(ix) Chuo kikuu Cha Mtakatifu John (ST JOHN) ni GEORGE KIMAMBO.

Siamini lakini kama ni kweli basi kuna shida ya kutojichanganya!
 
Safu imetulia wamejaa Makamanda watupu.
 
Ila jamaa wanapga xul kama vyuo vyote hivyo wamo.mi kuna chuo nilisoma mkoa niliotoka tulikuwa wawili tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom