Safu ya Uongozi (CHADEMA) vyuo vikuu ni hii

Safu ya Uongozi (CHADEMA) vyuo vikuu ni hii

Status
Not open for further replies.
loh umeonesha ukomavu kutoka tumboni kuelekea chini semakamawamevunja katiba,wamechakachua uchaguzi
 
Acha fitina na uzushi.
hoja za wachaga na lowasa zimetuchosha humu.
No research no data no right to speak/comment.
 
We unataka kuwasingizia CHADEMA, ina maana majina hayo ni ya WACHAGA NA WAARUSHA TU?
 
kama kawaida ya magamba-UZUSHI, UNAFIKI. Si kweli hata kidogo. Kiwanda kingine cha uongo. Uliza uambiwe
 
Please MOD tunaomba hii thread ifungwe na mleta mada apigwe ban kwa upotoshaji mkubwa na wamakusudi unaeneza uchochezi na kuhatarisha watu kupigwa ban.
 
kama wanafaa waache tu, ukiangalia kabila lazima ujue unamatatizo, sasa ungependa tumtoe nani? kama wamependelewa hapo ndiyo kuna weza kuwa tatizo, na unapoteza muda kuandika huu upuuzi, mimi sijui kabila langu lakini kinacho nivutia chadema ni ukabila. mwaka huu semeni kila upuuzi lakini magamba yanakufa... hiyo haina mjadala

Mkuu,
Mbona hii kali. Sikuwahi kuamini kama kuna watu wanaingia kwenye vyama kwa sababu ya ukabila ndani ya chama mpaka nimesoma post yako hii.

duh, ama kweli Tanzania sivyo tuijuavyo.
 
Katika moja ya vitu ambavyo CHADEMA inatajwa sana ni juu ya upangaji wa safu zake za uongozi wa kukibeba na kukiendeleza chama hicho. Kama ilivyo kwa vyama vingine vya siasa hapa nchini CHADEMA nao wanapanga safu zao za uongozi katika sehemu mbalimbali nchini.,moja ya sehemu hizo ni uongozi katika matawi ya chama hicho katika vyuo mbalimbali vya Elimu ya Juu hapa nchini.

Hivi karibuni wamepanga safu za viongozi wao ambao watakisimamia chama hiko kwa kipindi cha miaka 5 ijayo. na safu ya Viongozi hao ni kama ifuatavyo;

(i) University of Dodoma maarufu kama UDOM ni ELISANTE MUSHI.,
(ii) Chuo Kishiriki cha MWENGE ni JAMES KIMARO.
ACHA UONGO,KAMANDA ANAYEONGOZA CHADEMA MWENGE NI LAYZER SIMON,SIJUI HUKO KWINGINE.KADHALIKA UONGOZI WA MATAWI YA CHADEMA HUPATIKANA KILA MWAKA NA SI MIAKA MITANO.YOU ARE A LAYER

mkuu TEMILUGODA asante kwa kumu umbua huyu pimbi naomba na wengine wanao jua ukweli wa vyuo vingine waliumbue hili ndumilakuwili...
 
Last edited by a moderator:
Wakashida Kilimanjaro watupu, huu ni uongo mtupu.
 
naona uwezo wa kutoa michanganuo ni mdogo sana kwa baadhi ya watu,kama mtu unadiriki hata kudanganya hakika mungu atakuona,labda nikusaidie na majina ya viongozi wengine ambao huwafahamu..mwenyekiti wa CHADEMA SAUT TABORA NI ELIFURAHA JOHN na si mchaga na hapa wasema nini? tafuta hoja nyingine huje nayo hiyo imepanguliwa

Si mchaga lakini ni Mpare, au Mkaskazini na Mgala.
 
kuna hoja ya msingi sana hapa kama ni kweli ambayo inahitaji macho mawili katika kuijengea mjadala. Kuna watu humu wameanza kuja na fallacy argument and sophism kana kwamba ndiyo itaondoa ukweli wa mada.
 
Haijakaa vizuri sana mkuu kama ni kweli...Lakini!!? imekuwaje pia wanakuwa wengi vyuoni au na vyuo ni vya wachaga nini...?!
 
kwanza nina uhakika watu hao hawapo. total mockery!!!
Jamaa ameamua kuwa mchekeshaji, nenda ze komedy.

Ukituwekea Chuo kimoja tu kati ya hivyo vilivyotajwa na TandaleOne na nikaona aliowataja sio bali ni uongo, nita-propose afungiwe kwa kuleta taarifa za uongo humu jamvini.
Tumwagie taarifa sahihi.
 
Mods-Hii habari ni uongo wa hali ya juu.Tunafanya upuuzi kwa kuleta habari za uongo na kizandiki kudhalilisha jukwaa la JF.Ninashangaa uongo wa namna hii kuachwa hapa jukwaani mpaka sasa hivi.
 
Kwa maelezo haya inamaana tume ya katiba ni ya waislam na hili limefanyika makusudi wapo wajumbe 30 waislam 20, wakristo 9 mmoja ameapa hana dini, kwann Kikwete hakuwatendea haki Wakristo? Ukimchunguza bata hutamla hii nchi kila kona udini, ukabila tumechoka kunya anye kuku akinya bata.........
 
Wewe ni akili ya makalio, weka majina yote. Binafsi nawafahamu viongozi wote wa Mzumbe
  1. Mwenyekiti ni Roda....anatokea Mpanda
  2. Mkiti Bavisha anaitwa.....Igonga
  3. Katibu anaitwa Mwakibete
  4. Mwenezi...Ebeneza..

Ungekuwa mwanamke kwa umbeya huu sijui ungekuaje. Jee hawa huwajui?????
Akili yako naona umeirithi kutoka mabwepande.:target::target:
 
TandaleOne
...hizo ndo hoja mwenyekiti wenu aliwambia mje kujibu?...usiwe na akili kama za samaki,nenda kachukue posho yako Lumumba na ujipange upya...

Kwani kila anayetoa hoja pingamizi na CHADEMA anakuwa ni CCM. Mbona tunakuwa wavivu wa kufikiri kiasi hiki?. it's a fallacy argument and sophism
 
naona uwezo wa kutoa
michanganuo ni mdogo sana kwa baadhi ya watu,kama mtu unadiriki hata
kudanganya hakika mungu atakuona,labda nikusaidie na majina ya viongozi
wengine ambao huwafahamu..mwenyekiti wa CHADEMA SAUT TABORA NI ELIFURAHA
JOHN na si mchaga na hapa wasema nini? tafuta hoja nyingine huje nayo
hiyo imepanguliwa

mbona jina la ukoo la SWAI unalificha jomba
 
Embu fikiri
1/Toka lini uongozi wa tawi ukawa mtu mmoja tu, yaani hakuna kaimu, katibu, mhadhini nk

2/Vyuoni uongozi ni wa kipindi cha mwaka mmoja kwa kuwa kila mwaka kuna wanachuo wanaondoka na kuna wapya wanaingia chuoni na pia Kozi nyingi vyuoni ni hazizidi miaka mitatu, lakini hapo mleta mada anataja uongozi wa miaka mitano!!

3/Tanzania hakuna chuo kikuu kishiriki cha Jurdan university
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom