Safisha macho yako - Part 1

WAKUU HIVI HAYA MAJENGO YAPO HAPA DUNIANI KWELI AU NI PICHA ZA KUTEGENEZWA TUU?

KAMA YAPO KWELI, NI WANADAMU WA KAWAIDA HAWAHAWA TULIOWAZOEA NA KUWAONA LIVE, NDO WAMEYATENGENEZA?

ISEJEKUWA DUNIA IMEINGILIWA NA VIUMBE WENGINE.
Mkuu ni hawa hawa binadamu wa kawaida.

Je umeshaitathmini ndege inavyopaa angani na kutafakari uwezo/ubunifu wa binadamu au je kama wewe ni mkongwe uliwahi kutegemea kutakuja kutokea simu za kioo tupu (smartphones)
 
Hii nchi gani
Watu ni wabunifu aisee ukiona hivi ukilinganisha na yanayoendelea nchini unabaki unatikisa kichwa
mwingine atakuambia hao ni freemason, mwingine utaskia wachawi hao, mara mwingine tena eliens hao, kumbe wakati ninyi mnawaza mapenzi na kuwangiana, wenzenu hawalali wanawaza na kubuni mateknolojia ya hatari.
 
Back
Top Bottom