Safiri na mimi Arusha to Dar 8th Jan,2020

Safiri na mimi Arusha to Dar 8th Jan,2020

Joined
Jan 6, 2020
Posts
36
Reaction score
140
Nitakua safarini kutoka Arusha kwenda Dar Es Salaam kesho jumatano tarehe 8/1/2020 mwenyewe kwa usafiri/gari binafsi. Nahitaji kampani ya kusafiri nayo (kampani utachangia mchango wa mafuta) katika safari hiyo. Kampani ikijua kuendesha au kuwa na uzoefu wa kusafiri mara kwa mara itapendeza zaidi.
 
Nitakua safarini kutoka Arusha kwenda Dar Es Salaam kesho jumatano tarehe 8/1/2020 mwenyewe kwa usafiri/gari binafsi. Nahitaji kampani ya kusafiri nayo (kampani utachangia mchango wa mafuta) katika safari hiyo. Kampani ikijua kuendesha au kuwa na uzoefu wa kusafiri mara kwa mara itapendeza zaidi. Nipigie kwenye 0747187079
Naona mnakusanya nauli bila kusajili.biashara sasa
 
Nitakua safarini kutoka Arusha kwenda Dar Es Salaam kesho jumatano tarehe 8/1/2020 mwenyewe kwa usafiri/gari binafsi. Nahitaji kampani ya kusafiri nayo (kampani utachangia mchango wa mafuta) katika safari hiyo. Kampani ikijua kuendesha au kuwa na uzoefu wa kusafiri mara kwa mara itapendeza zaidi. Nipigie kwenye 0747187079
jihadharini kabla ya hatari
 
Nahitaji lifti ila ningependa kufahamu tairi za gari lako ni za aina gani(Kampuni gani) na zimetengenezwa mwaka gani.
 
Mkuu 3,000km kwa miezi 11 hii gari hutembelei?
Hizo 3,000km ni chache mno nshisi umekadiria

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli nimekadiria. Ila kuna kipindi kama miezi mitatu hazikutembea kabisa (gari lilipata ajali likapaki miezi3 kati ya July na Oktoba 2019). Pia halikua na trips zaidi ya hapa Arusha mjini
 
Back
Top Bottom