Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,639
- 164,780
Wakae na nani?Wabunge wa upinzani alafarufu UKAWA waendelea kususia vikao vya bunge wakiongozwa na kiongozi wao mh. Mbowe.
Inasikitisha sana kwa wapiga kura wetu wito wangu wakae meza moja ya mazungumzo kumaliza mgogoro huu.
Mungu halindi wanafiki. Anaendelea kupigwa bao kwani sasa sheria mbalimbali zinafanyiwa marekebisho bila ya uwepo waoMungu awalinde Ukawa
Kuna taarifa kuwa wabunge wanawake wa UKAWA wameanza kuwatumia sms wabunge wanaume wa CCM ili wawasamehe kwa kauli alizotoa KubeneaHuku mitaani wabunge wa ukawa wanakopa sana.
Mkuu dhuluma haijawai kushinda hakiMungu halindi wanafiki. Anaendelea kupigwa bao kwani sasa sheria mbalimbali zinafanyiwa marekebisho bila ya uwepo wao