Safi! Mbunge wa Kigamboni - (CCM) kesha kinukisha!

Ndugulile yuko makini, the way anavyopresent hoja yuko na wananchi wake " acheni ushabik wa chama jamvini
 
Ndani ya ccm mbunge mkweli na yupo kwa ajili ya wananchi wake ni Deo peke yake!
 
Hongera sana Mh Dr Ndugulile umetuwasilishia hoja yetu ya Kigamboni vizuri sana. "Kimenuka". Umenifurahisha sana uliposema serikali iache kazi ya udalali.
 
Nimemfurahia bwana Mtemvu leo, ameongea vizuri.

Yaani wewe uko dunia gani ndugu? Bado unafurahishwa na maneno ya wanasiasa? Pole sana. Sisi tunafurahishwa na mistari ya bongo fleva na nyimbo za injili
 
Pamoja na mambo mengine. Kapinga bajeti ya w/ardhi, ahoji kwa nini serikali inang'an'gania kuendeleza k'mboni kwa kuwahamisha watu ambao washajenga! Kwani wao hawastahili kukaa mahali pazuri? Au maeneo ya kuendeleza yameisha?
Hana mpya,hiyo ni staili ya magamba
 
Ndani ya ccm mbunge mkweli na yupo kwa ajili ya wananchi wake ni Deo peke yake!

Naam!!!
Pia January Makamba kwakweli anajitahidi,
Miradi hii yenye wafadhili for bumbuli najua ana pesa zake za wahindi guaranteed...kutokana na kujipendekeza kwa wahindi 'wahisani' ikulu ambako yeye na dadake wana access ya moja kwa moja,......

Manake mkulu hata kufungua mtambo wa 100MW anamleta waziri lakini Vodacom wakitaka free promo Ikulu akhaaaa...

So he got them money from those wadosiz na kiukweli credit should be given where it desrves he is doing his best for his constituency and he's still doing his best for the rest of TZ....ila wakati mwingine nawaza kuwa hizi hoja binafsi ukiacha wapinzani...akiileta CCM lazima awe 'a who's who person' nadhani those no status no title no whatever ( wabunge's ) just jump on the bandwagon...

Anyways Deo and JM for CCM knows nani kawatuma, wanatuwakilisha vizuri
 
Nachelea kumsifu maana sikubaliani na kukataa kote halafu unasema naunga mkono hoja. Halafu je wakimtishia kumulimboka ataendelea kuwa na msimamo huo au atalegeza kamba.
 
Atetee wananchi walipwe vizuri ili eneo hilo liendelezwe kama ilivyopangwa, huu ujuha wa kugomea wananchi kutolewa ili kupisha miradi ndio unaturudisha nyuma siku zote, mji mwema vimejaa vibanda vya kuku ndio wanaishi binadamu wakati ni town centre kabisa.

Mbunge atetee wananchi walipwe vizuri wapishe mradi wa kigamboni city ambao utakua na manufaa zaidi hapo baadae.. aache siasa za kutafuta umaarufu wa kijinga
 
kwanza nianze kwa kuunga mkono hoja kwa 100 %
Napinga wananchi wangu wa Kigamboni
halafu nianze kwa kuchangia kwenye blablabl;aaaaaaa

shem on them
kuhamishwa kwa ajili ya mji mpya.. lakini naunga mkono hoja. Style ya wabunge wa CCM.
 
tatizo la wabongo ni hilo. kinachowafanya kuanza kumpigia debe mpoki nn? achen uzushi bungen co sehemu ya kuchekesha
 
katika hali ya kawaida kwa siasa zetu za kibongo ni vigumu kuzuia mpango mzuri wa serikali,ila ninachoona chenye maana ni mbunge huyu kutafuta namna ya ku-intervene mchakato wa mji mpya wa kgamboni ili mwananchi afaidike kwa kulipwa haki stahili katika kuhamishwa,ila mpango wenyewe hauna ubaya..issue ni wananchi na serikali iwe win-win sio win-loss!
 
Pamoja na mambo mengine. Kapinga bajeti ya w/ardhi, ahoji kwa nini serikali inang'an'gania kuendeleza k'mboni kwa kuwahamisha watu ambao washajenga! Kwani wao hawastahili kukaa mahali pazuri? Au maeneo ya kuendeleza yameisha?
Mkuu@MAMC kazungumza maneno ya Point Mh Mbunge .@Dr Ndugulile ila kaitia kasoro Serikali ya inayoongozwa na Chama Chake cha CCM. kazi ipo hapo kunako uchaguzi unaokuja wa mwaka 2015.
 
Back
Top Bottom