Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,615
Akielezea utumiaji mbaya wa madaraka serikalini na mashirika ya umma filikunjombe amesema nchi nyingine raisi hawezi kusafiri bila ya bunge kuidhinisha safari. Amesema kipigo magamba walichokipata arumeru ni fundisho tosha jinsi wananchi walivyokata tamaa na ccm. Source-kipindi cha jambo leo tbc1
anayasema leo wakati mkuwere amebakiza nchi 15 tu aimalize dunia! Filikunjombe nae hamnazo kweli!