Safari za E. Lowassa Mikoani: Anamwakilisha nani!?

Mpaka tulipofika, Lowasa ni threat zaidi kwa CCM yenyewe kuliko vyama vya upinzani. Baadhi ya maoni yanaakisi kuwa Lowasa ni hatari kwa wapinzani lakini ukweli ni kuwa Lowasa wanaoumia zaidi ni Kambi ya Membe na Kambi ya Sitta. Sioni sababu kwa nini Wapinzani wataharuki kwa mbwembwe za Lowasa maana mwisho wa siku wapinzani watalazimika kupambana na mteule wa CCM hata kama ni Lowasa anayewatesa baadhi ya wanaCCM ama mwingine yeyote.

Kwa sasa Lowasa aendelee kuwatimulia vumbi washindani wenzake ndani ya CCM tuone itakuwaje

mkuu Membe na Sitta wake kamwe hawawezi kuwa marais wa nchi hii labda tufe watawale maiti zetu.
 
Mimi Lowasa ananikuna tu kwenye sera ya Elimu ushujaa wake unaanzia hapo.
 
Jina la EL sasa ni koras humu jf, endeleeni kumpaisha hadi jumba jeupe tutamuingiza!, na kwa vile anakuwa amepaishwa juu sana, mule ndani ataingilia kutoka juu kwa kufanya kutua!.
Pasco

Njaa mbaya sana. Pasco umeacha kutumia kichwa kufikiri umetanguliza tumbo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwa masilahi ya wengi, unafikiri leo EL akipata Urais huo atatelekeza sera za nani? Mpaka sasa anafanya mambo yote haya pekee yake? Achilia wapinzani wake wa ndani ya chama chake na vyama pinzani.
Mpaka tulipofika, Lowasa ni threat zaidi kwa CCM yenyewe kuliko vyama vya upinzani. Baadhi ya maoni yanaakisi kuwa Lowasa ni hatari kwa wapinzani lakini ukweli ni kuwa Lowasa wanaoumia zaidi ni Kambi ya Membe na Kambi ya Sitta. Sioni sababu kwa nini Wapinzani wataharuki kwa mbwembwe za Lowasa maana mwisho wa siku wapinzani watalazimika kupambana na mteule wa CCM hata kama ni Lowasa anayewatesa baadhi ya wanaCCM ama mwingine yeyote.

Kwa sasa Lowasa aendelee kuwatimulia vumbi washindani wenzake ndani ya CCM tuone itakuwaje
 
Nakumbuka Josephine Mushumbusi alipokuwa anazunguka nchini kuimarisha kambi ya "mme" wake watu walihoji, lakini wengine wakawa wakali kupinga kuhojiwa huko.

Mpaka ikabidi Kamati Kuu ya Chadema iingilie kati kumpiga marufuku.

acha uongo.kijana jifunze kutulia na fanyia utafiti wa kina unayosema.

kumbuka Dr Slaa alipokuwa akiomba kura 2010 nilizunguka nae nchi nzima,nilisimama jukwaani na kuhaidi kuwatumikia, utakuha na matusi hapa na maswali, ngoja nikujibu.
kipindi cha uchaguzi Dr aliitaji uwepi wangu kuliko wakati wowote,ndiyo wakati aliitaji maombi,malezi ya mfumo wa chakula,kutiwa moyo nazaidi ni kipindi alipata shida ya mkono hivyo ili kwenda na mda uwrpi wangu ulikuwa wa msingi.

kamati kuu ya chadema haiwezi na haijawahi kuingilia kazi zangu.toa ushahidi,unless unamuongelea Josephine mwingine.

kwa taarifa,nimeingia usiku wa jana nilikuwa Geita,kahama na nzega.
sifanyi haya kwa kutafuta ama kuimarisha kambi,hatulilii Ikulu wala hatuitafuti Ikulu tunatimiza ahadi ya kuzidi kuwaelimisha wananchi hata kama hatukuingia Ikuku.ahadi ni deni,nawiwa kufanya hivyo kwakuwa niliwaahidi akina mama.
tembelea tovuti yangu,nimekuwa mwanaharakati wa maendeleo kabla sijakutana na Dr.

nikitu kilicho ndani yangu wala sijifunzi.fanya utafiti.nilianza kuwatumikia wananchi toka nikuwa binti mdogo,sijaanza sasa;utumushi is my spirit,sasa kazi yangu imetanuka tu.sijawahi kutafuta uongozi popote.nenda kimara baruti mtaa nilioishi hapo nyuma watakwambia.

nenda mitaa ya Afrika sana watakwambia my spirit.nilifanya kwa moyo sikutamani hata ubalozi.
Naamini katika kutumia akili na nguvu alizonipa Mungu katika kufanya jambo na malipo yanayotoka juu.Leadership is given hivyo siyo jambo la kufukuzia.

sijawahi na sitegemei kutumua pesa ya chama,nafanya kazi kwa mikono yangu.stop kunifananisha na yeyote.nitabaki kuwa watofauti kwakuwa the purpose of God in me will never be the same .........

Josephine
 
Mimi Lowasa ananikuna tu kwenye sera ya Elimu ushujaa wake unaanzia hapo.
Jamani hata kama hamuipendi CHADEMA,sera ya elimu kwanza siya EL wala ccm bali ni ya CHADEMA na wanasema Kipaumbele chao cha kwanza ni ELIMU,cha pili ni ELIMU na cha tatu ni ELIMU,na wanasisitiza wataitoa bure,wote mlio humu ndani kama mlishuhudia kampeni za 2010 na 2005 ccm hawajawahi kuwa na sera ya Elimu inayompa mtanzania unafuu wa kuipata.Acheni kuwapa watu sifa ambazo si za kwao,na kama anajiamini kwamba anaweza kuukwaa huo urais si asubiri muda muafaka ndipo aanze kujipitishapitisha,siyo kuwajengea wenzie wa chama chake hofu na kihoro kwa matumizi ya ya nguvu ya pesa,Ashukuru magamba kawashika hawawezi muhoji,nilishapata kusema hapa huu ugomvi unaosemwa upo kati yake na mwenyekiti wa chama lao la magamba ni changa la macho au senema hakuna kitu cha namna hiyo hawajawahi kuwa nabifu na mwenyekiti anataka jamaa aingie magogoni kwa namna iwayo yoyote ile.Wakati mkiendelea kumfanyia kampeni hapa tafadhali muwe wakweli sera ya ELIMU BURE si yake ni ya CHADEMA na ndio wanaooongea ni namna gani inatekelezeka,amekuwa mwerevu kidogo kasoma upepo wa nyakati basi kacopy na kupest na vyombo vya habari na mapi.mbi wengine wa humu mnampa publicity kwasababu ya unabii unatoka kwenye matumbo yenu.Acheni hizo kina mayaula.
 
ngoja afanye personal social responsibility kwa kuturudishia alichhootuibia, kkama ni mwema aanze kwa kuinufaisha monduli ya wamasai na wameru kwanza, kama alishindwa arusha, ataweza nchi nzima? Lowassa hawez siasa anaweza kugawa pesa tu
 
acha uongo.kijana jifunze kutulia na fanyia utafiti wa kina unayosema.

kumbuka Dr Slaa alipokuwa akiomba kura 2010 nilizunguka nae nchi nzima,nilisimama jukwaani na kuhaidi kuwatumikia, utakuha na matusi hapa na maswali, ngoja nikujibu.
kipindi cha uchaguzi Dr aliitaji uwepi wangu kuliko wakati wowote,ndiyo wakati aliitaji maombi,malezi ya mfumo wa chakula,kutiwa moyo nazaidi ni kipindi alipata shida ya mkono hivyo ili kwenda na mda uwrpi wangu ulikuwa wa msingi.

kamati kuu ya chadema haiwezi na haijawahi kuingilia kazi zangu.toa ushahidi,unless unamuongelea Josephine mwingine.

kwa taarifa,nimeingia usiku wa jana nilikuwa Geita,kahama na nzega.
sifanyi haya kwa kutafuta ama kuimarisha kambi,hatulilii Ikulu wala hatuitafuti Ikulu tunatimiza ahadi ya kuzidi kuwaelimisha wananchi hata kama hatukuingia Ikuku.ahadi ni deni,nawiwa kufanya hivyo kwakuwa niliwaahidi akina mama.
tembelea tovuti yangu,nimekuwa mwanaharakati wa maendeleo kabla sijakutana na Dr.

nikitu kilicho ndani yangu wala sijifunzi.fanya utafiti.nilianza kuwatumikia wananchi toka nikuwa binti mdogo,sijaanza sasa;utumushi is my spirit,sasa kazi yangu imetanuka tu.sijawahi kutafuta uongozi popote.nenda kimara baruti mtaa nilioishi hapo nyuma watakwambia.

nenda mitaa ya Afrika sana watakwambia my spirit.nilifanya kwa moyo sikutamani hata ubalozi.
Naamini katika kutumia akili na nguvu alizonipa Mungu katika kufanya jambo na malipo yanayotoka juu.Leadership is given hivyo siyo jambo la kufukuzia.

sijawahi na sitegemei kutumua pesa ya chama,nafanya kazi kwa mikono yangu.stop kunifananisha na yeyote.nitabaki kuwa watofauti kwakuwa the purpose of God in me will never be the same .........

Josephine
usitumie nondo sana kumjibu huwa haelewi, atakuwa kabla ya kuposti anapewa kimemo ili aposti, c unaskia hata spika wa bunge kabla ya kufanya jambo anasoma vimemo, so vimemo vimeharibu uwezo wa watu kufikiri
 
Swali lako ni la msingi sana, nafikiri tulitupie kwa Katibu Mwenezi wa chama na naibu katibu mkuu wake, inawezekana EL anasaidia kazi ya ujenzi wa chama nani anayejua?
 
Wana-JF,

Nimekuwa najaribu kufikiria jinsi Mbunge wa Monduli na Waziri aliyejihuzuru kwa kashfa ya Mradi tata wa Richmond, Bw. E. Lowassa anavyotemebelea mikoa na wilaya mbalimbali hapa Tanzania. Amekuwa akijihusisha na harambee na kuchangia miradi mbalimbali ya maendeleo hasa inayoendeshwa na makundi ya kidini.
Katika siku za hivi karibuni, EL amejikita hata katika kukutana na wazee wa jadi. Kwa hali ilivyo safari hizi zinatumia hela nyingi sana.

Lakini unaweza kunisaidia kutafakari kidogo!
1. Hizi kazi anazofanya anafanya kama nani, mfano ni mkutano wake wa Shinyanga ambao amesikika akitoa siri za Baraza la Mawairi katika Mradi wa Maji wa Ziwa Victoria pia na mkutano na Chama cha Waendesha Boda Boda, Tabora. EL akiwa ameweka Jiwe La Msingi katika Kaburi la Mnyugumba; EL katika Tambiko
2. Nani anagharimia safari zake??? Ni chama tawala au serikali kuenzi utumishi wake wa Uwaziri Mkuu!
3. Nini hasa lengo lake kwa nchi yetu, kama hela anazotumia hazina chanzo kilichowazi?
4. Ni nani anayeanda mikutano hii ya kumkutanisha na wananchi? CCM! Serikali!

Naomba ufikiri kwa kina kabla hujajibu.

Bwana Mngeja (M/kiti wwa Chama Mkoa) Jana alisema kuwa AL anatekeleza Ilani ya CHAMA cha MAPINDUZI. Usisahau vile vile kuwa ITV wanamuita "WAZIRI MKUU MSTAAFU"!!!!! Badala ya "Waziri Mkuu aliyejiuzulu"
 
acha uongo.kijana jifunze kutulia na fanyia utafiti wa kina unayosema.

kumbuka Dr Slaa alipokuwa akiomba kura 2010 nilizunguka nae nchi nzima,nilisimama jukwaani na kuhaidi kuwatumikia, utakuha na matusi hapa na maswali, ngoja nikujibu.
kipindi cha uchaguzi Dr aliitaji uwepi wangu kuliko wakati wowote,ndiyo wakati aliitaji maombi,malezi ya mfumo wa chakula,kutiwa moyo nazaidi ni kipindi alipata shida ya mkono hivyo ili kwenda na mda uwrpi wangu ulikuwa wa msingi.

kamati kuu ya chadema haiwezi na haijawahi kuingilia kazi zangu.toa ushahidi,unless unamuongelea Josephine mwingine.

kwa taarifa,nimeingia usiku wa jana nilikuwa Geita,kahama na nzega.
sifanyi haya kwa kutafuta ama kuimarisha kambi,hatulilii Ikulu wala hatuitafuti Ikulu tunatimiza ahadi ya kuzidi kuwaelimisha wananchi hata kama hatukuingia Ikuku.ahadi ni deni,nawiwa kufanya hivyo kwakuwa niliwaahidi akina mama.
tembelea tovuti yangu,nimekuwa mwanaharakati wa maendeleo kabla sijakutana na Dr.

nikitu kilicho ndani yangu wala sijifunzi.fanya utafiti.nilianza kuwatumikia wananchi toka nikuwa binti mdogo,sijaanza sasa;utumushi is my spirit,sasa kazi yangu imetanuka tu.sijawahi kutafuta uongozi popote.nenda kimara baruti mtaa nilioishi hapo nyuma watakwambia.

nenda mitaa ya Afrika sana watakwambia my spirit.nilifanya kwa moyo sikutamani hata ubalozi.
Naamini katika kutumia akili na nguvu alizonipa Mungu katika kufanya jambo na malipo yanayotoka juu.Leadership is given hivyo siyo jambo la kufukuzia.

sijawahi na sitegemei kutumua pesa ya chama,nafanya kazi kwa mikono yangu.stop kunifananisha na yeyote.nitabaki kuwa watofauti kwakuwa the purpose of God in me will never be the same .........

Josephine

hv watanzania,Huyu ndo mnategemea awe first lady kweli?anaye andika bila hata nukta,kweliiiiiiii dr nayeameingia choo cha kike kweli,
 
Back
Top Bottom