Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,989
- 5,068
Mwanaume anatakiwa kufundishwa kutafuta hela na kuilinda familia.Tatizo unakuta umefundwa kila kitu unakutana na mume hajafundwa chochote yaani yupo yupo tu unadhani kitaeleweka hapo? Mnapowaandaa watoto wa kike kuwa wake msisahau kuwaandaa na wa kiume kuwa waume
Tena ikiwezekana kazi zote azijue just for emergency.!!