Safari yangu ya jana kwenye basi

Safari yangu ya jana kwenye basi

Wenyewe ndoa zenu mjishughulishe. Mie sifanyi kitu sababu ya kuonekana. Mtu akija atavyonikuta Ndo nilivyo siku zote....

Nikiamua kupika nakula haswa, nikiamua kutokupika Hata ununue navigable yote sipiki ng'oo nikiamua kufanya usafi nafanya nikiamua sigusi chochote naita deiwaka anakuja fanya usafi nyumba nzima.

Nikiwa na miadi kuonana na mtu siendi saluni sababu kutengeneza nywele au kucha sababu ya mtoko laah, ntaenda kama siku za kawaida nnazoenda shopping.

Sibadili muonekano wangu sababu flani anione wa maana au nafaa, niko hivi akiona sivyo asitegemee ntabadilika haviwezi anapisha maisha yangu yanadonga.

Wako wataosema sio kisa langu ni kosa la walezi wangu, laah no kisa la asili yangu.... Chimbuko la nilikotokea ni Matata zaidi yangu.

Sijisifii wala sitangazi sifa bali nasema ukweli wangu wa moyoni.

Wanawake wenyewe waume zenu nendeni mkashughulike msiachike msiige skins Kasie hatuna ndoa wala majukumu ya kulea.

K' Matata.
 
Kuolewa si adhabu, ukishamfahamu uliye nae ni rahisi sana kuishi nae. Kuna watu hawawezi kukaa kwenye untidy place, sasa kama huendani nae
1. Anaweza akawa mpangaji mwenyewe
2. Akatafuta nyumba ndogo ambayo ni safi na akiwa huko Roho yake inatulia.

Kubadilika ukishazoea utaona ni kazi rahisi sana.
 
Mimi leo nipo Dodoma. Na mimi nilisafiri kwa basi jana, ila mbele yangu alikaa dada mzuri sana, utakuwa ndio wewe Sky Eclat
 
Jana nilisafiri kwa basi, pale kituoni kulikuwa na mamma mmoja wa 70+ alikuwa na mtoto wake wa 40s ki umri. Yule kijana alihakikisha mama yake ana maji ya kunywa na matunda ya kula njiani.

Basi lilipofika ilitokea nimekaa nyuma ya yule mama akiwa amekaa na mama mwingine wa umri wake. Walianza kuongea juu ya kijana wake alivyo na msaada.

Yule mama akamwambia mwenzie, alioa lakini ndoa imemshinda, mke alikuwa mchafu na mvivu. Kushinda kwenye simu hata kupika alisahau.

Tukumbuke kupanga nyumba zetu amasivyo tutaachwa wengi baada ya kushinda JF.
Mwanamke mvivu asiyejua hata kupika huyu kwangu hata dakika mbili hakai namfukuza na mateke juu yake
 
In realistic hii haiwezekani.
Tunakutana kwenye Basi kwenda Arusha.
Unaishi babati Mimi singida.
Tukikutana Ni Mara moja kwa mwezi kila mtu Yuko busy.
Utamchunguza saa ngapi?
Hao majirani watamjuaje kuwa mchafu na hajui kupika?
Wazazi/kinamama wanatakiwa kuwa na muda na mabinti zao. Wasifikiri kumsomesha binti bila kumfundisha mambo ya jikoni ndio solution.
Mwanamke asiyejua kuandaa chakula Ni Bora aendelee kuishi peke yake tu.
Kupika ilikuwa kigezo cha kwanza
 
Utafikiri huwa hampi uroda
Kwani unaoa ili kupata uroda tu?
Kama ni uroda hata kahaba anaweza akakupatia.
Au unaweza ukawa unawaleta wanawake tofauti wanakutimizia haja zako wanasepa.
Mentality ya kudhani wanaume wanaoa ili kupata mbunye ndio inasababisha mabinti wasielewe nini wanatakiwa kufanya wakiwa wake za watu.
Ndoa Ni zaidi ya kuperembana.
 
Kama ninalotaka liacha
Lichafu
Livivu
Kuoa mitoto ya mwisho ni laana

rafiki usimuache
mwelekeze tu kwa upole
nae atakuelewa na atabadilika
mmekutana wote ukubwani
kila mtu akiwa na malezi tofauti
wanasema:
HERI SHETANI UMJUAE KULIKO MALAIKA USIYEMJUA
heri
huyo coz hadi sasa unajua mapungufu yake ni yapi hivyo NI RAHISI KUDILI NAYO
Kuliko huyo mpya utakaetafuta
HUWEZIJUA NAE ATAKUJA NA MADHAIFU YAKE YAPI
UNAWEZAKUTA HUYO NDIYO JANGA JINGINE HADI UKAJUTIA BORA TU UNGEBAKI NA YULE WA KWANZA!
ila pia sisi wanaume tuwe na desturi ya kuongea na wake zetu
coz huenda wengi wetu hatuna hata muda wa kuongea nao
na ukiulizwa kitu jibu tu vizuri hautapungukiwa kitu
Mfano:
baba Leo tule nini?
UNAJIBU HILO NI SWALI LA KUNIULIZA?
 
Back
Top Bottom