Safari yangu ya jana kwenye basi

Safari yangu ya jana kwenye basi

Kwani unaoa ili kupata uroda tu?
Kama ni uroda hata kahaba anaweza akakupatia.
Au unaweza ukawa unawaleta wanawake tofauti wanakutimizia haja zako wanasepa.
Mentality ya kudhani wanaume wanaoa ili kupata mbunye ndio inasababisha mabinti wasielewe nini wanatakiwa kufanya wakiwa wake za watu.
Ndoa Ni zaidi ya kuperembana.
Mm nililenga suala Moja tu la yule jamaa kutumia lugha kali namna ile sikusema ureda ndiyo kazi pekee ya mke.
 
Kwani unaoa ili kupata uroda tu?
Kama ni uroda hata kahaba anaweza akakupatia.
Au unaweza ukawa unawaleta wanawake tofauti wanakutimizia haja zako wanasepa.
Mentality ya kudhani wanaume wanaoa ili kupata mbunye ndio inasababisha mabinti wasielewe nini wanatakiwa kufanya wakiwa wake za watu.
Ndoa Ni zaidi ya kuperembana.
Ukioa mwanamke anajua kupika ila hajui utundu napo utasema mwanamke hajaolewa ili aje kupika tu maana unaweza ukaajiri mfanyakazi akupikie! Kazi kweli kweli!
 
rafiki usimuache
mwelekeze tu kwa upole
nae atakuelewa na atabadilika
mmekutana wote ukubwani
kila mtu akiwa na malezi tofauti
wanasema:
HERI SHETANI UMJUAE KULIKO MALAIKA USIYEMJUA
heri
huyo coz hadi sasa unajua mapungufu yake ni yapi hivyo NI RAHISI KUDILI NAYO
Kuliko huyo mpya utakaetafuta
HUWEZIJUA NAE ATAKUJA NA MADHAIFU YAKE YAPI
UNAWEZAKUTA HUYO NDIYO JANGA JINGINE HADI UKAJUTIA BORA TU UNGEBAKI NA YULE WA KWANZA!
ila pia sisi wanaume tuwe na desturi ya kuongea na wake zetu
coz huenda wengi wetu hatuna hata muda wa kuongea nao
na ukiulizwa kitu jibu tu vizuri hautapungukiwa kitu
Mfano:
baba Leo tule nini?
UNAJIBU HILO NI SWALI LA KUNIULIZA?
Wanaume wengi wanataka waoe wanawake waliokamilika kila kitu hawana muda wa kuwabadilisha wake zao ila wao wanataka wake zao wawabadilishe
 
Ukioa mwanamke anajua kupika ila hajui utundu napo utasema mwanamke hajaolewa ili aje kupika tu maana unaweza ukaajiri mfanyakazi akupikie! Kazi kweli kweli!
Mapungufu ya kukata viuno yanavumilika.
Utajua tu huyu sio mzoefu wa mambo hayo.
Lakini mwanamke anayeshindwa kuicontrol nyumba yake kama mama hafai.
Bora uishi mwenyewe tu uwe unaleta wanawake wa starehe ya ngono tu kuliko kuishi na mtu anakuja kukuletea stress tu.
 
Mama unatakiwa uwalee wanao waweze kujenga familia zao vema sio kutegemea waje wafundishwe na watu wengine.
Huko kwa wengine wataongeza maarifa tu.
Ni aibu kwa mama wa kiafrica unaozesha mtoto wa kike hawezi kufanya majukumu ya ndani kwake.!!
 
Inawezekana mama ni muongo anamtetea tu mwanae
 
Mama unatakiwa uwalee wanao waweze kujenga familia zao vema sio kutegemea waje wafundishwe na watu wengine.
Huko kwa wengine wataongeza maarifa tu.
Ni aibu kwa mama wa kiafrica unaozesha mtoto wa kike hawezi kufanya majukumu ya ndani kwake.!!
Tatizo unakuta umefundwa kila kitu unakutana na mume hajafundwa chochote yaani yupo yupo tu unadhani kitaeleweka hapo? Mnapowaandaa watoto wa kike kuwa wake msisahau kuwaandaa na wa kiume kuwa waume
 
Hakulishi
Hakuvishi
Na pigo zake za kinafki

Kwani vipiiiiii ?
 
Ukioa mwanamke anajua kupika ila hajui utundu napo utasema mwanamke hajaolewa ili aje kupika tu maana unaweza ukaajiri mfanyakazi akupikie! Kazi kweli kweli!
Baby Ariana unatakiwa kujua vyote
 
Mimi bora mtu awe msafi
Kitandani atafundishika.
Mtu akishakuwa mchafu na mvivu hafai
 
Oohh basi hapo sawa
Mapungufu ya kukata viuno yanavumilika.
Utajua tu huyu sio mzoefu wa mambo hayo.
Lakini mwanamke anayeshindwa kuicontrol nyumba yake kama mama hafai.
Bora uishi mwenyewe tu uwe unaleta wanawake wa starehe ya ngono tu kuliko kuishi na mtu anakuja kukuletea stress tu.
 
Mama unatakiwa uwalee wanao waweze kujenga familia zao vema sio kutegemea waje wafundishwe na watu wengine.
Huko kwa wengine wataongeza maarifa tu.
Ni aibu kwa mama wa kiafrica unaozesha mtoto wa kike hawezi kufanya majukumu ya ndani kwake.!!
Ndiyo sijamaanisha majukumu yake najua kuwa mwanamke anatakiwa aolewe akiwa anajua kufanya kazi zote za nyumbani ila nimemaanisha baadhi ya tabia ambazo ni madhaifu ya mwanamke kuna wanaume hawataki kuchukua muda kuyavumilia na kuyabadilisha madhaifu ya wanawake wanataka wanawake waliokamilika kitabia yaani wawe malaika
 
Back
Top Bottom