Safari yangu ya jana kwenye basi

Safari yangu ya jana kwenye basi

Hiviii mpaka unaoa hukumchunguza? Au ule nda wa uchumba watu wanachunguza nini? Tabia kama hizo am sure zinaonekana ata watu wanaomfahamu wanaweza kudokeza
 
In realistic hii haiwezekani.
Tunakutana kwenye Basi kwenda Arusha.
Unaishi babati Mimi singida.
Tukikutana Ni Mara moja kwa mwezi kila mtu Yuko busy.
Utamchunguza saa ngapi?
Hao majirani watamjuaje kuwa mchafu na hajui kupika?

Wazazi/kinamama wanatakiwa kuwa na muda na mabinti zao. Wasifikiri kumsomesha binti bila kumfundisha mambo ya jikoni ndio solution.
Mwanamke asiyejua kuandaa chakula Ni Bora aendelee kuishi peke yake tu.
 
Umeongea point...
 
walikuwa wanaongea hawakujua mmbea wa JF yupo karibu,sasa yule kijana ndio mimi hapa
 
huyo mamamkwe kwanini asimfunde mkamwana wake?? huyo ni kama mwanae wa pili kumteta kwa strangers sio kabisa tatizo mama wakwe baadhi wanakuwaga na upendo wa kinafki #imenitouch
 
Mume pamoja na familia yake si ndugu zako
 
Back
Top Bottom